Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Mabalozi na wawakilishi wa balozi mbalimbali wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A Lissuambapo leo itaanza kusikilozwa.
Katibu Mkuu John Mnyika akiwasili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe.
Tundu Lissu.
Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kanda ya Unguja Hashim Juma wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu.
Mwanachama wa CHADEMA na aliyekuwa mbunge wa Mikumi, Joseph Haule naye amewasili Mahakamani.