Prof. Jay, mrudishe huyu mdada kwenye ramani

Prof. Jay, mrudishe huyu mdada kwenye ramani

Drjacka92

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
445
Reaction score
522
Salaam!!.

Leo nikiwa natazama vipindi kwenye luninga, ulichezwa wimbo wa Prof. Jay, (Joseph Haule) ambaye kwasasa ni Mbunge wa Mikumi. Wimbo ule unaitwa ZALI LA MENTALI, Kiukweli nikakumbuka mbali sana, kwakuwa ni wimbo wa muda mrefu kidogo, lakini ukiusikiliza nakuuangalia bado una sound poa sana masikioni.

Kwa abaeufahamu wimbo ule ambao prof. Jay alimshirikisha Juma Nature, lakini pia kunasikika sauti ya mwanadada ambaye alikuwa akijibizana na Prof. Jay, kiukweli katika hali ya kawaida unaweza sema Yule dada anaongea tuu lakini uhalisia nikwamba Yule Dada pale alikuwa anaimba kwa staili yaku rap, naamini Yule Dada alikuwa nakipaji sana chakufanya mziki.

Mpaka Leo Yule Dada sijamfahamu alikuwa ninani, mana nafikiri alisikika tu kwenye ule wimbo. Mh. Mbunge Joseph Haule (Prof.Jay) kama Yule Dada bado yupo Mrudishe kwenye Mziki, muweke tena kwenye Ngoma alafu mpe afanye kipande kikubwa tofauti naile nafasi ndogo yakwenye Zali la Mentali.

1478192019039.jpg
1478192027361.jpg


Baadhi ya picha katika wimbo huo wa Zali la Mentality. [emoji115][emoji115]
 
Naona umeshindwa kutofautisha rap na kuongea haraka haraka
 
si mtoto wa kishua yule hadi akawa anaeasumbua machizi mtaani, alikua anatembelea benz, leo anahitaji msaada?
 
Back
Top Bottom