Prof Jay: Operation rudisha shavu imeanza

Prof Jay: Operation rudisha shavu imeanza

Aachane na junky fudi sio lazima awe na kitambi tena


Huo ndio mwili sahihi wa afya nzuri

Alivyokuwa awali amenenepeana ovyo.

Wengine tunataka kupungua yeye anataka kunenepa

Halafu kunenepa lazima uanze kula sumu kwa wingi na matakataka kama supu, sukari, michumvi kwa sana na pombe hizo sio ishu.

Kwa Sasa apambana kuwe na afya Bora sio kiribatumbo
 
Back
Top Bottom