Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
- Thread starter
- #21
Kwa Ukraine Raia Ni soldiers sio shield. Shield Ni pale wanajeshi wa Ukraine watawaweka raia katika makundi ili kuzuia Urusi isiwashambulie. Lakini kwa Ukraine Raia wanapigana na Urusi kwa kubeba mitutu yao. Wale wasioweza wamekimbia Kama wakimbizi.
Ndio maana nakwambia una tatizo la kutoelewa, hapo ulipo hata hujui kama raia walikuwa wakijificha ktk kivuli cha kiraia. Jeshi gani linavaa nguo za kiraia kama sio kitendo cha woga wa mapambano na kujificha ktk sura ya raia?
Mbona hao raia walipouawa hawakuhesabiwa kama wanajeshi waliouawa vitani ila wanahesabika ati raia wa kawaida walouawa na majeshi ya Russia?
Sasa hapa chini huyo rais Masanja Mwigizaji analialia nini kama raia walipewa risasi kama jeshi la nchi na wakauawa kama wanajeshi kwenye vita? Kama sio kuwatumia kama kinga.
Embu uwe unashughulisha bongo yako Mkuu