mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Nchi nyingi za Ulaya kukwepa kodi ni msala, mfano mzuri ni Rwanda hakuna mfanya biashara mkubwa Rwanda anae ongopa kama kukwepa kodi... Mfanya biashara yoyote wa Rwanda hawadhubutu kufanya biashara za shortcut kesi yake ni kupigwa nyundo la miaka jela na mali zako na biashara zako zote zinataifishwa na serikali.... Tanzania unaweza kufikia stage ya ubilioner bila kulipa kodi.....
Alicho kiongea Prof naungana nae, maendeleo hayana chama
Atakuwa alitaka tu kuogopesha watu..Prof.Kabudi amefundisha wanasheria wengi nchi hii, wakiwemo wabunge na majaji.
..sasa ametoa madai kwamba ktk nchi za Marekani na Uingereza, kukwepa kodi ni kosa kubwa kuliko kuua.
..pamoja na heshima kubwa niliyonayo kwa Prof.Kabudi napata taabu kukubaliana na kauli yake hiyo.
..Sijui Prof. alikuwa na nia gani kutoa madai hayo kwamba kukwepa kodi ni kosa kubwa kuliko kuua.
..Prof.Kabudi amefundisha wanasheria wengi nchi hii, wakiwemo wabunge na majaji.
..sasa ametoa madai kwamba ktk nchi za Marekani na Uingereza, kukwepa kodi ni kosa kubwa kuliko kuua.
..pamoja na heshima kubwa niliyonayo kwa Prof.Kabudi napata taabu kukubaliana na kauli yake hiyo.
..Sijui Prof. alikuwa na nia gani kutoa madai hayo kwamba kukwepa kodi ni kosa kubwa kuliko kuua.
Mwezi ulio pita mwanasharia wa Trump kipindi cha kampaini alibainika alikua anafanya kazi ya kutowa ushauri kwa serikali ya Ukuraini naalikua analipwa $300'000 kwa miaka miwili FBI ulibaini kwa kutowa ushahidi wakutosha kwamba jama alikuepa kulipa kodi kwenye federal government zaid ya $1m jama alikili na Mahakama elimuhukumu kufungwa miaka 3 jela ila aliomba aanze hukumu yake mwezi wa nane mwaka hu.....wewe jaribu kuua kama utafungwa miaka mitatu.....mstulishe matango pori
Sent using Jamii Forums mobile app