mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
mleta mada anahoji adhabu ya kuua na kukwepa kulipa kodi ni SAWA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi nyingi za Ulaya kukwepa kodi ni msala, mfano mzuri ni Rwanda hakuna mfanya biashara mkubwa Rwanda anae ongopa kama kukwepa kodi... Mfanya biashara yoyote wa Rwanda hawadhubutu kufanya biashara za shortcut kesi yake ni kupigwa nyundo la miaka jela na mali zako na biashara zako zote zinataifishwa na serikali.... Tanzania unaweza kufikia stage ya ubilioner bila kulipa kodi.....
Alicho kiongea Prof naungana nae, maendeleo hayana chama
Sent using Jamii Forums mobile app