Sijui kama wapinzani wanalilia au kulaumu yaliyotokea kana kwamba hawakujua kilichotazamiiwa kutokea. Unachokiita 'kulialia' ni mipasho tu inayotazamiwa kuwepo toka upande huo wa pili.Aina maana CCM iachiwe kushinda kirahisi kama ilivyotokea kwenye huu uchaguzi wa serikari za mitaa halafu watu waanze kulia kulia kwa maamuzi yao wenyewe.
"Punguza Mizigo" haijawahi kuwa sehemu ya Handshake/BBI hata siku moja. Ile ilikuwa ni kitu kingine tofauti na hii, pamoja na kwamba na yenyewe ilikuwa inazungumzia muundo wa utawala.Nadhani umesoma version ya zamani iliyokua inaitwa Punguza mzigo.
Is a gifted mnafiki as wellProf. Kabudi is a gifted orator.
"Punguza Mizigo" haijawahi kuwa sehemu ya Handshake/BBI hata siku moja. Ile ilikuwa ni kitu kingine tofauti na hii, pamoja na kwamba na yenyewe ilikuwa inazungumzia muundo wa utawala.
Okay. Sijaisoma BBI report, ndio imetoka hata hivyo. Nilikuwa nafatilia zaidi majadiliano ya wanasiasa wa Kenya. Suluhisho la repeated cycles of violence ni kutenda haki.Nadhani umesoma version ya zamani iliyokua inaitwa Punguza mzigo.
Kwa sasa bbi imeback na presidential system kama kawaida.
Rais atachaguliwa kwa popular vote
Makamu atabaki kama mgombea mwenza
Waziri mkuu atateuliwa na Rais
Niambie ipi ni parliamentary system
Lakini yote haya si bado wananchi wanayo nafasi ya kuyajadili na kutoa mapendekezo yao wanayoona yanafaa? akishindwa kuitumia nafasi hii, nani alaumiwe?Lakini mfumo wao.hawaja ubadili.. wamekopi tuu Tanzania ukiacha mambo madogo kama.misharahara ya viongozi etc
You mean a gifted hypocrite?Is a gifted mnafiki as well
Prof Kabudi kaongelea sana ukibila kenya juzi. Ni wakati wa Kenya kuja kwetu kuongelea umuhimu na demokrasia nchini na sisi tusianze kuwaita mabeberu kama tunavyofanya. Watanzania tunaoenda sana kuongelea wenzetu Wakati hata demokrasia hatuna.
Lecture za ukabila sio demokrasia. Tanzania ya leo hakuna demokrasiaWaende chadema ,waalikeni kwenye uchaguzi wenu,
CCM ndio baba wa demokrasia afrika,Jana kabudi kawapa lecture za maana
States agent
Wewe nawe hovyo kweli.Kaongea mambo ambayo hana. Hana sababu ya kuwadhauri wakenya kwa sababu nchi yake kwa sasa ni ya kibaguzi kiliko nchi yoyote east africa.
Nadhani watanzania tunatatizo la kushindwa kutofautisha thamani ya what we get and what we deserve?
Pia Watanzania tumejengewa hofu hadi kutetea mambo ya hovvyo.
Kuonewa ni sehemu ya maisha y watanzania ndio maana mnamshukuumry Rais Hata kwa kupona kwenye ajali.
Kukopa kweli tunakopa lakini kuanzia 2016 mpaka 2019 takwimu zinaonesha deni limeongezeka kutoka 36.4% mpaka 37.7% ya GDP. Hili ni ongezeko la 1.3% ya GDP.
GDP(nominal) yetu ni $61b na ongezeko la 1.3% ni sawa na $793,000,000 (trilioni 1.82Tsh). Sasa kiasi cha mwanzo tuu kilicholipwa kujenga SGR ni $1.2 billion (trilioni 2.76Tsh) ambayo ni zaidi ya pesa tulizokopa kipindi cha miaka mitatu. Hizo pesa nyingine za kununulia ndege, kujenga bwawa la umeme, barabara, bandari, viwanja vya ndege n.k unafikiri zinatoka wapi?
View attachment 1275225
Tanzania - national debt in relation to gross domestic product (GDP) 2029* | Statista
The ratio of national debt to gross domestic product (GDP) in Tanzania was forecast to continuously decrease between 2024 and 2029 by in total 6.5 percentage points.www.statista.com