Prof. Kabudi ahudhuria hafla ya uzinduzi ripoti ya BBI nchini Kenya inayopendekeza uwepo wa cheo cha Waziri Mkuu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Prof. Kabudi ahudhuria hafla ya uzinduzi ripoti ya BBI nchini Kenya inayopendekeza uwepo wa cheo cha Waziri Mkuu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Oumuamua, Nadhani umesoma version ya zamani iliyokua inaitwa Punguza mzigo.

Kwa sasa bbi imeback na presidential system kama kawaida.

Rais atachaguliwa kwa popular vote

Makamu atabaki kama mgombea mwenza


Waziri mkuu atateuliwa na Rais


Niambie ipi ni parliamentary system
 
Aina maana CCM iachiwe kushinda kirahisi kama ilivyotokea kwenye huu uchaguzi wa serikari za mitaa halafu watu waanze kulia kulia kwa maamuzi yao wenyewe.
Sijui kama wapinzani wanalilia au kulaumu yaliyotokea kana kwamba hawakujua kilichotazamiiwa kutokea. Unachokiita 'kulialia' ni mipasho tu inayotazamiwa kuwepo toka upande huo wa pili.

Pengine nyinyi mnaosema watu wanaonyang'anywa haki wanalialia, mmejiridhisha kabisa kwamba hali hiyo ndio itakayoendelea kuwafaidisha nyinyi wakati wote.

Hata mwizi/jambazi hufurahia matokeo ya kazi yake hadi siku anaponasa. Siku ipo; mtanasa. WaTanzania watakataa kutumiwa kama wasiokuwa na akili timamu.
 
Nadhani umesoma version ya zamani iliyokua inaitwa Punguza mzigo.
"Punguza Mizigo" haijawahi kuwa sehemu ya Handshake/BBI hata siku moja. Ile ilikuwa ni kitu kingine tofauti na hii, pamoja na kwamba na yenyewe ilikuwa inazungumzia muundo wa utawala.
 
Lakini mfumo wao.hawaja ubadili.. wamekopi tuu Tanzania ukiacha mambo madogo kama.misharahara ya viongozi etc
"Punguza Mizigo" haijawahi kuwa sehemu ya Handshake/BBI hata siku moja. Ile ilikuwa ni kitu kingine tofauti na hii, pamoja na kwamba na yenyewe ilikuwa inazungumzia muundo wa utawala.
 
Nadhani umesoma version ya zamani iliyokua inaitwa Punguza mzigo.

Kwa sasa bbi imeback na presidential system kama kawaida.

Rais atachaguliwa kwa popular vote

Makamu atabaki kama mgombea mwenza


Waziri mkuu atateuliwa na Rais


Niambie ipi ni parliamentary system
Okay. Sijaisoma BBI report, ndio imetoka hata hivyo. Nilikuwa nafatilia zaidi majadiliano ya wanasiasa wa Kenya. Suluhisho la repeated cycles of violence ni kutenda haki.
Sioni umuhimu wa uwepo wa position ya waziri mkuu kwenye presidential system.Kama BBI ime recommend hivyo basi itakuwa ni uvurugaji tu na wanasiasa kung'ang'ania madaraka hata kama wameshindwa uchaguzi.
Waliotutangalia kwenye maendeleo na demokrasia wanafuata strictly presidential or parliamentary systems. US, UK,India, SA, Israel etc.
Inaonekana wanataka system ya ajabu kama ya Tanzania, rais ana uwezo wa ku hire and fire a prime minister. Waziri mkuu wetu hana hata mamlaka Zanzibar.
Anyways hongera zao.
 
Lakini mfumo wao.hawaja ubadili.. wamekopi tuu Tanzania ukiacha mambo madogo kama.misharahara ya viongozi etc
Lakini yote haya si bado wananchi wanayo nafasi ya kuyajadili na kutoa mapendekezo yao wanayoona yanafaa? akishindwa kuitumia nafasi hii, nani alaumiwe?
 
Kwa ufupi Prof Kabudi ni mbaya,ana kipaji cha kuongea na uzuri kabisa anapenda kiswahili,tena sana, huchoki Kumsikiliza,unakumbuka hata akiwa bungeni utasikia kubagaza.
 
Prof Kabudi kaongelea sana ukibila kenya juzi. Ni wakati wa Kenya kuja kwetu kuongelea umuhimu na demokrasia nchini na sisi tusianze kuwaita mabeberu kama tunavyofanya. Watanzania tunaoenda sana kuongelea wenzetu Wakati hata demokrasia hatuna.
 
Waende chadema ,waalikeni kwenye uchaguzi wenu,

CCM ndio baba wa demokrasia afrika,Jana kabudi kawapa lecture za maana

States agent
 
kenya kuna demikrasia?
Prof Kabudi kaongelea sana ukibila kenya juzi. Ni wakati wa Kenya kuja kwetu kuongelea umuhimu na demokrasia nchini na sisi tusianze kuwaita mabeberu kama tunavyofanya. Watanzania tunaoenda sana kuongelea wenzetu Wakati hata demokrasia hatuna.
 
Waende chadema ,waalikeni kwenye uchaguzi wenu,

CCM ndio baba wa demokrasia afrika,Jana kabudi kawapa lecture za maana

States agent
Lecture za ukabila sio demokrasia. Tanzania ya leo hakuna demokrasia
 
Kaongea mambo ambayo hana. Hana sababu ya kuwadhauri wakenya kwa sababu nchi yake kwa sasa ni ya kibaguzi kiliko nchi yoyote east africa.

Nadhani watanzania tunatatizo la kushindwa kutofautisha thamani ya what we get and what we deserve?

Pia Watanzania tumejengewa hofu hadi kutetea mambo ya hovvyo.

Kuonewa ni sehemu ya maisha y watanzania ndio maana mnamshukuumry Rais Hata kwa kupona kwenye ajali.
Wewe nawe hovyo kweli.
 
Balozi namba 2 wa nchi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Palamagamba Kabudi, leo Mh. Tundu Lissu ameingia Nairobi Kenya na kuhojiwa ktk media kubwa kuhusu hali halisi ya kisiasa Tanzania.

Swali, je safari hiyo ya Prof. Palamagamba Kabudi kama mjumbe maalum ilikuwa pamoja na mengine kutafuta ushawishi kumzuia Tundu Lissu asiruhusiwe kuingia Kenya ?

Maana mambo yote haya mawili kujitokeza wakati mmoja yanazuwa maswali mengi ikiwemo lile ulilosema Prof. Palamagamba Kabudi nanukuu."..mambo mengine tuliyozungumza ... not for public consumption"


Prof . Palamagamba Kabudi kuhubiri kwako kwa waKenya kuwa BBI ya Kenya - Ujenzi wa Madaraja ya Kisiasa kwa ajili ya Utawala Bora Wenye Maridhiano kwa Wote siyo kwa ajili ya Kenya tu, lakini huku kwetu Tanzania hali hiyo ya BBI haipo.

Na Mh. Tundu Lissu ameichambua vizuri na kwa kina na kuithibitishia Afrika ya Mashariki kuwa Tanzania hali ya kisiasa siyo shwari na Madaraja ya Kisiasa Kuunganisha Maridhiano BBI hakuna. Je serikali ya awamu ya 5 itafanya hatua gani za makusudi kuondoa doa hili la kisiasa na haki za binadamu?

Source: KTN News Kenya
 
Hii sheria ikija Tz itawafanya wapinzani wawe wanatafakari Sana na kuwa makini zaidi kabla hawajachagua mtu wa kumsimamisha kwenye kugombea urais
 
Kukopa kweli tunakopa lakini kuanzia 2016 mpaka 2019 takwimu zinaonesha deni limeongezeka kutoka 36.4% mpaka 37.7% ya GDP. Hili ni ongezeko la 1.3% ya GDP.

GDP(nominal) yetu ni $61b na ongezeko la 1.3% ni sawa na $793,000,000 (trilioni 1.82Tsh). Sasa kiasi cha mwanzo tuu kilicholipwa kujenga SGR ni $1.2 billion (trilioni 2.76Tsh) ambayo ni zaidi ya pesa tulizokopa kipindi cha miaka mitatu. Hizo pesa nyingine za kununulia ndege, kujenga bwawa la umeme, barabara, bandari, viwanja vya ndege n.k unafikiri zinatoka wapi?

View attachment 1275225


Kwahiyo ni kweli tunakopa na sio fedha za ndani.
 
Kwa kifupi sijamjua aliyekutuma kwenda Kenya mpaka hivi sasa Bwana Profedhea Kabudi. Ulikwenda kufanya nini kule Kenya pia sijajua ila nasikitika sana ulitumia kodi zetu vibaya kwenda kuzurula tuu na kisha kutoa ujumbe kutoka kwa watu wasio julikana.

Umesema ulitumwa na Rais kuwaeleza wakenya waache siasa za chuki na ukabila. Wakati ukizungumza hayo Kenya ina Katiba nzuri, Tume ya uchaguzi nzuri na Kiongozi wa upinzani amekaa meza moja na Rais wa Kenya wanabadilishana mawazo kuhusu taifa lao.

Hivi kweli Pro fedheha Kabudi ulishindwa hata kuona tuu picha ya hapo mlipo kuwa mmekaa wakenya wakifurahi kwa pamoja bila kujali itikadi zao kisha na wewe kujiongeza ukabadili maneno uliyo karirishwa kusema?

Tunajiuliza ni rais gani aliyekutuma kuwapa usia watu wa Kenya? Ni rais huyu ambaye amesikika akisema sasa ni zamu ya Kanda ya ziwa? Au ni yule aliyesema Atashangaa kuona kama mkurugenzi wa tume ya uchaguzi atamtangaza mpinzani ameshinda? Au ni yule aliyesema hana mpango na mchakato wa Katiba mpya ya Watanzania?

Kwamba ulitumika kama kipaza sauti tuu huku moyoni ukijua msimamo wa aliyekutuma? Yaani sijawahi ona Mchawi anawahi ktk ajali kwenda kuokoa majeruhi na kushauri wapelekwe nje ya nchi kwa matibabu bora. Ushauri wenu kwa Wakenya umejaa nguvu za giza uzandiki na unafiki.

Maendeleo hayana vyama jamani asante sana.
 
Back
Top Bottom