Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
Ni afazali angeenda hata Wema Sepetu nchi ingeheshimika kuliko hili vuvuzelaUlitaka uende wewe?
Kivipi ?Awamu ya Mizimu ipo Kazini aisee.
P.Kabudi alikwenda Kenya kwa mwaliko wa Raisi wa Kenya kuhusu nafasi ya Kenya security council UN, alipokuwa huko Raisi Uhuru Kenya akamuomba ahudhurie hiyo hafla ya BBI, lkn hilo halikuwa lengo KUU la safari yake, got it?
Ulitaka uende wewe?
Kuwanga tu! Hujamuelewa Mtoa Mada atichoandika? Kabudi aliongea Ushirikina tu, yaani anamtukana Mtoto wa Mwenzie Mchafu wakati Kajimwagia Uji na hali Yeye wa Kwake Kajinyea.Kivipi ?
Kwa hiyo sasa hivi kiongozi akienda kwenye nchi ya watu kwa jambo fulani akimaliza lililompeleka, anaweza kuitwa kwenye mengine yasiyomuhusu na kuanza kumwaga unafiki wake?
Ni lazima aliomba/ombewa ruhusa kwa Boss wake, isitoshe alichoongea kilihusu Wakenya na nchi yao na siyo wewe, hivyo nashangaa kinachokuuma ni kipi?
Kwahiyo awamu hii mnataka kutuaminisha kuwa viongozi wake hawana jema kabisaKuwanga tu! Hujamuelewa Mtoa Mada atichoandika? Kabudi aliongea Ushirikina tu, yaani anamtukana Mtoto wa Mwenzie Mchafu wakati Kajimwagia Uji na hali Yeye wa Kwake Kajinyea.
Hapana, alitakiwa huyo huyo hata akipata mume aolewe huko huko kabisa, lakini sio kwenda kujifanya anatoa ushauri wakati huku nyumbani yuko kwenye meza ya kupanga uhayawani na ukatili dhidi ya wapinzani.
Kitendo cha Kuwakandia Wakenya Wakati Wameishamaliza tofauti Zao na ndiyo Wanaijenga Kenye Kwa Umoja ndiyo Upuuzi tunaouona Kabudi alikosea. Maana Kenya Kenyatta anajaribu Kuiunganisha lakini Magufuli anaigawa. Tuache Unafiki hata Ninyi WanaCCM mnajua Vizuri kuwa Rais Katugawa na Mbeleni italeta Madhara Makubwa tu.Kwahiyo awamu hii mnataka kutuaminisha kuwa viongozi wake hawana jema kabisa
Ule muhadhara ulikuwa umeandaliwa kuihusu Kenya sasa bwana Kabudi angeongea nini tofauti na alichokiongea
Lisu Katupa Wakati Mgumu
Ukatili gani umefanywa?
Unauliza au unapigia jibu mstari?
Tuache kuipaka matope Serkali