Prof. Kabudi ahudhuria hafla ya uzinduzi ripoti ya BBI nchini Kenya inayopendekeza uwepo wa cheo cha Waziri Mkuu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni

P.Kabudi alikwenda Kenya kwa mwaliko wa Raisi wa Kenya kuhusu nafasi ya Kenya security council UN, alipokuwa huko Raisi Uhuru Kenya akamuomba ahudhurie hiyo hafla ya BBI, lkn hilo halikuwa lengo KUU la safari yake, got it?
 
Mzee anatoa Macho Kama yanataka Kuchomoka Vile. Hatari saana!
Nadhani alimtuma aliyemuokota Jalalani.
 
P.Kabudi alikwenda Kenya kwa mwaliko wa Raisi wa Kenya kuhusu nafasi ya Kenya security council UN, alipokuwa huko Raisi Uhuru Kenya akamuomba ahudhurie hiyo hafla ya BBI, lkn hilo halikuwa lengo KUU la safari yake, got it?

Kwa hiyo sasa hivi kiongozi akienda kwenye nchi ya watu kwa jambo fulani akimaliza lililompeleka, anaweza kuitwa kwenye mengine yasiyomuhusu na kuanza kumwaga unafiki wake?
 
Ulitaka uende wewe?

Hapana, alitakiwa huyo huyo hata akipata mume aolewe huko huko kabisa, lakini sio kwenda kujifanya anatoa ushauri wakati huku nyumbani yuko kwenye meza ya kupanga uhayawani na ukatili dhidi ya wapinzani.
 
Kwa hiyo sasa hivi kiongozi akienda kwenye nchi ya watu kwa jambo fulani akimaliza lililompeleka, anaweza kuitwa kwenye mengine yasiyomuhusu na kuanza kumwaga unafiki wake?

Ni lazima aliomba/ombewa ruhusa kwa Boss wake, isitoshe alichoongea kilihusu Wakenya na nchi yao na siyo wewe, hivyo nashangaa kinachokuuma ni kipi?
 
Nashangaa mtu kwenda kutoa ushauri kwa wanandoa huku yeye mwenyewe hakai na mke!
 
Kuwanga tu! Hujamuelewa Mtoa Mada atichoandika? Kabudi aliongea Ushirikina tu, yaani anamtukana Mtoto wa Mwenzie Mchafu wakati Kajimwagia Uji na hali Yeye wa Kwake Kajinyea.
Kwahiyo awamu hii mnataka kutuaminisha kuwa viongozi wake hawana jema kabisa

Ule muhadhara ulikuwa umeandaliwa kuihusu Kenya sasa bwana Kabudi angeongea nini tofauti na alichokiongea
 
Ukatili gani umefanywa?
Hapana, alitakiwa huyo huyo hata akipata mume aolewe huko huko kabisa, lakini sio kwenda kujifanya anatoa ushauri wakati huku nyumbani yuko kwenye meza ya kupanga uhayawani na ukatili dhidi ya wapinzani.
 
Kwahiyo awamu hii mnataka kutuaminisha kuwa viongozi wake hawana jema kabisa

Ule muhadhara ulikuwa umeandaliwa kuihusu Kenya sasa bwana Kabudi angeongea nini tofauti na alichokiongea
Kitendo cha Kuwakandia Wakenya Wakati Wameishamaliza tofauti Zao na ndiyo Wanaijenga Kenye Kwa Umoja ndiyo Upuuzi tunaouona Kabudi alikosea. Maana Kenya Kenyatta anajaribu Kuiunganisha lakini Magufuli anaigawa. Tuache Unafiki hata Ninyi WanaCCM mnajua Vizuri kuwa Rais Katugawa na Mbeleni italeta Madhara Makubwa tu.
 
Back
Top Bottom