young solicitor
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,123
- 713
kuvunja muungano it's to open the Pandora's box we don't know what will happen but something will for sure happen. Itoshe kusema hivyoLeta ushahidi.
Umeandika ukikimbizwa!
Acha uongo...watu wanamjua...usimletee matatizo..Mheshimiwa Profesa Palamagamba Mwaluko Kabudi, ni moja ya watanzania Wachache sana wenye kipaji cha hali ya juu kwenye kuongea na hadhara
Chuo kikuu cha Dar es Salaam, wanamuita Multi talented Professor, ni moja ya watu waliofaulu kwa kiwango cha juu kabisa pale Faculty of Law UDSM ( Class of 1983)
Kwa kifupi Profesa Palamagamba Kabudi yuko vizuri sana, binafsi ni moja ya watanzania Wachache ninaopenda kuwasikiliza wakiongea
Watu tena ?Acha uongo...watu wanamjua...usimletee matatizo..
Punguza kimbelembele...fanya yakoWatu tena ?
Kumbe sio wewe unaemjua ni watu oky
Ha ha ha ha daaah kwamba wataleta upande hajataka kuusika.Acha uongo...watu wanamjua...usimletee matatizo..
Acha uongo...watu wanamjua...usimletee matatizo..
Unazungumzia "" kufaulu", kukariri makaratasi na kuandika kwenye mitihani...Katika historia ya faculty of law University of Dar es Salaam, hakuna mwanafunzi aliyefaulu vizuri zaidi kwenye undergraduate ( LLB) kama Profesa Palamagamba Mwaluko Aidan Kabudi
Narudia tena...utamsababishia mwenzio matatizo.Katika historia ya faculty of law University of Dar es Salaam, hakuna mwanafunzi aliyefaulu vizuri zaidi kwenye undergraduate ( LLB) kama Profesa Palamagamba Mwaluko Aidan Kabudi
Weka wazi mkuu mbona mikwara imekuwa mingi Sana.Narudia tena...utamsababishia mwenzio matatizo.