Prof. Kabudi ahudhuria hafla ya uzinduzi ripoti ya BBI nchini Kenya inayopendekeza uwepo wa cheo cha Waziri Mkuu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Mheshimiwa Profesa Palamagamba Mwaluko Kabudi, ni moja ya watanzania Wachache sana wenye kipaji cha hali ya juu kwenye kuongea na hadhara

Chuo kikuu cha Dar es Salaam, wanamuita Multi talented Professor, ni moja ya watu waliofaulu kwa kiwango cha juu kabisa pale Faculty of Law UDSM ( Class of 1983)

Kwa kifupi Profesa Palamagamba Kabudi yuko vizuri sana, binafsi ni moja ya watanzania Wachache ninaopenda kuwasikiliza wakiongea
 
Acha uongo...watu wanamjua...usimletee matatizo..
 
Thread kama hizi zitakuwa nyingi Sana kuelekea 2025.
 
Mzee wa kwa Sadala....aka Kitonga...aka ganda la ndizi ...eti kupita bila kupingwa karne hii kah!!
 
Ktk vitu naishukuru awamu ya 5 ni kutuonyesha maana halisi ya Ph.D.

Zamani tuliziheshimu saana Ph.D lkn siku hizi,tunazicheki tuuuuu tunasema hiiiiiiiiiiiiii waghoshaaaa.
 
Katika historia ya faculty of law University of Dar es Salaam, hakuna mwanafunzi aliyefaulu vizuri zaidi kwenye undergraduate ( LLB) kama Profesa Palamagamba Mwaluko Aidan Kabudi
Unazungumzia "" kufaulu", kukariri makaratasi na kuandika kwenye mitihani...

Kufaulu ni jambo moja na akili za kujitambua ni kitu kingine...
 
Back
Top Bottom