Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
mbona nimesoma maoni ya kumkosa Kabudi yanatolewa na wakenya kwenye forum zao??anaongea na nyinyi wahuni mnaomchukia kabudi kwa nondo zake anavyowakera na li chadema lenu!
Yani ulitaka kila Mkenya amshangilie Kabudi? Uko dunia ya wapi wewe?mbona nimesoma maoni ya kumkosa Kabudi yanatolewa na wakenya kwenye forum zao??
Mnahofia nini nyie mataga??
Toka jana unatembea na haka ka kipande tu. Ina maana wakenya wote walitoa maoni ni hako ka kipande tu?
Aibu nyingine mnajitakia tu aisee
Unachosema ni sahihi kabudi yuko vzr na hata wakenya wengi wamempingeza tatizo baadhi yetu humu chuki za ki vyama zinatutoa ufahamuNilimsikiliza jana. Naamini ndo atakuja kuvaa viatu huko magogoni. He's strong, ana points na anajiamini mbaya!
Huijui Burundi wewe,Ukweli ni kwamba kabudi ni mnafiki.. anao gea kenya kana kwamba Tanzania ni nchi ya demokrasia wakayi hali tuliyofikia ni zaidi ya burundi
MK254,
Hizo zilikuwa dili za watu, mkulima ni kisingizio tuu, ndiyo maana Magu aliamua kuacha kulipa. Wewe unafikiri pesa za kufanya miradi yote hii anayoifanya zinatoka wapi?
Jamaa amekata mirija mingi ya wizi, watu wanahasira nae, wanashindwa kumzuia nchini kwakuwa yeye ndiyo mwenye dola hivyo wanatafuta soft target kumhujumu.
..hapa Tanzania napo wanasiasa wameanza kuhutubia Kikabila.
Kukopa kweli tunakopa lakini kuanzia 2016 mpaka 2019 takwimu zinaonesha deni limeongezeka kutoka 36.4% mpaka 37.7% ya GDP. Hili ni ongezeko la 1.3% ya GDP.wacha kupotosha huoni deni la taifa linavyokuwa then unajifanya hujuhi hela zinatoka wapi?