EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Ameongea point sana huyu mzeeHuyu lofa anatumbua macho kama mjusi.badala ya kujibu hoja juu ya pesa walizokula ndiyo Kwanza anapiga mikwala ya kizamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameongea point sana huyu mzeeHuyu lofa anatumbua macho kama mjusi.badala ya kujibu hoja juu ya pesa walizokula ndiyo Kwanza anapiga mikwala ya kizamani
Tena anaongea kwa panic hadi anatia huruma!Huyu jamaa alinifanya nihairishe kusomea PHD pamoja na kuchaguliwa kusomea kozi hiyo Mlimani. Yaani ukimuangalia unaona kabisa anaongea aliyotumwa akaseme Prof mzima unalazimishwa kuongea pumba kwa ajili ya kulinda nafasi yako
Hiki ni kitu cha Msingi sana naongea na ni FACT.....Naipenda Nchi Yangu TzProf. Palamagamba Kabudi amesema Tanzania haifuati sera za kidiplomasia za kujitenga kufanya kazi na Jumuiya za Kimataifa. Hivyo waziri Kabudi amesema Tanzania ipo tayari kukaa ktk meza moja na wadau wa kimataifa kuzungumzia mapungufu yaliyopo lakini si kwa kuburuzwa na mabeberu bila kuwa na facts mezani.
Hivi unaelewa kitu una andika au unaropokwa tuKwa Hiyo watapeleka JWTZ kuwapiga European Unioni sio ?
Hahahahaha
Propaganda full na mimacho kilo mia elfu nane
Hana ujanja wa kumwambia mzungu yoyote hilo. Huyo ni futuhi kama futuhi nyingine.