Tetesi: Prof Kabudi anaweza kuwa next president of Tanzania 2025

Prof Kabudi ndie next president to next generation. Huyu ndie Magu anapaswa kuwa nae karibu kwa kutengeneza good succession plan. Mark my words Prof is the next 6th president. Japo wengi tunataka Magu aongozw 15 years
 
huu ni ukweli ila mchungu sana. Jamaa anamudu mijadala mpaka raha
 
Prof Kabudi ndie next president to next generation. Huyu ndie Magu anapaswa kuwa nae karibu kwa kutengeneza good succession plan. Mark my words Prof is the next 6th president. Japo wengi tunataka Magu aongozw 15 years
Ben saanane mmeshammaliza?
 
Prof Kabudi ndie next president to next generation. Huyu ndie Magu anapaswa kuwa nae karibu kwa kutengeneza good succession plan. Mark my words Prof is the next 6th president. Japo wengi tunataka Magu aongozw 15 years

Rais wa Awamu ya Sita atakuwa Makame Mnyaa Mbarawa!
 
Yani wewe unataka tutawaliwe na mpumbavu? Seriously?
 
Anaongea sana tena kwa speed kiasi anakuwa kama nyumbu! Kuanguka na kuvunjika likely!
 
Kabudi kawaharibia maprofesa wote hawafai hata kuwa wawakilishi kwenye ngazi za jamii
 
Rais anachaguliwa hateuliwi,
 
uzuri wa siasa za ccm ni kuwa mwenyekiti muda wako unapikalibia kuisha na nguvu yako ndani ya mfumo wa siasa tawala huishia hapo, hakuna raisi aliefanikiwa kumuweka mtu anayemkubali yeye nyerere alifanikiwa 1885 kumuweka mzee ruksa akataka kafanya hivo 1995 akashindwa..Mkapa alijaribu 2005 chaguo lake likiwa mzee salim Ahmed salim lakini akazidiwa vilevile nguvu ikawa hana budi kumuunga mkono mkwele, hata jakaya 2015 magufuli hakuwa chaguo lake ila mfumo wa chama ukamzidi nguvu....vivo hivo magufuli 2025 akijaribu kuwa na mgombea wake mfukoni hata weza
 
huyo anaye panic ovyo ndo awe rais?
ACHENI kuidhalilisha taasisi ya urais.
 
God forbid!
 
Kafanya lipi tena?
 
Mtu ninaye mwona anaweza kurudi kirahisi ni kikwete maana anakubalika pande zote ndani na nje na hata kwa wapinzani atafsnya kama putin
 
Hata Muhongo alijiona untouchable sasa hivi chali. Nyoka hana rafiki.
 
Prf kabudi anasema hata utoke mbinguni au duniani lazima ulipe kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
Professor kabudi ni msomi mbobezi katika historia na nimwalimu mzuri mno,historia inaonyesha watu ambao ni mabingwa wa kuongea wanamatokea hasi kwy utekelezaji,kwa hiyo usitegemee kabisa kupata transformational changes kutoka kwa mtu kama huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…