Tetesi: Prof Kabudi anaweza kuwa next president of Tanzania 2025

Tetesi: Prof Kabudi anaweza kuwa next president of Tanzania 2025

Mimi sitashangaa ikitokea hivyo,tumeshaona mengi ya aina hiyo. Kama waliopita waliweza iweye ngumu kwa huyu? Tena naona ana "ahueni" kuliko wawili wa mwisho! Ni zaidi ya vituko.( mwingine mzee wa kubembea ughaibuni na mwingine ni "comedian" wa kutupwa!) BIRDS OF THE SAME FEATHERS......!
 
Mh. Magufuli your doing amazing job kweli Prof Kabudi anaonyesha mwanga wa kukurithi pasipo majivuno ila utumishi ulio tukuka. Nisije toa siri zaidi ila muda utajibu haya.
Charles Tizeba unamwacha wapi?
 
Hawezi yuko miaka ya 60s...raisi ajaye anatoka katika rika la akina Mwinyi,January,Zito,Lissu,Nchemba nk
 
Mh. Magufuli your doing amazing job kweli Prof Kabudi anaonyesha mwanga wa kukurithi pasipo majivuno ila utumishi ulio tukuka. Nisije toa siri zaidi ila muda utajibu haya.
kabudi hana sifa za kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi na hana kauonesha ulimwengu dhahiri kabisa jinsi asivyo kuwa na uwezo mzuri wa kufikiri na kuongea pamoja na uprofesa wake kifupi jana katia kinyaa kabisa kaongea kana kibaka hivi hakuwa na tofauti na kibajaji
 
Mh. Magufuli your doing amazing job kweli Prof Kabudi anaonyesha mwanga wa kukurithi pasipo majivuno ila utumishi ulio tukuka. Nisije toa siri zaidi ila muda utajibu haya.

Kwa uandishi huu, huna siri zozote zaidi ya hisia tu. Japo si mbaya!
 
Back
Top Bottom