Tetesi: Prof Kabudi anaweza kuwa next president of Tanzania 2025

Tetesi: Prof Kabudi anaweza kuwa next president of Tanzania 2025

Mh. Magufuli your doing amazing job kweli Prof Kabudi anaonyesha mwanga wa kukurithi pasipo majivuno ila utumishi ulio tukuka. Nisije toa siri zaidi ila muda utajibu haya.
Huyo anafaa kuwa mwanaharakati sio kiongozi.

Nchi ni Uchumi na Uchumi ni biashara za watu. Hakuna Uchumi bila biashara. Hana sifa ya kujenga Uchumi wa watu na biashara zao zaidi ya matamko na kunukuu matamko ya wanaharakati wenzake.

Kama ni ujamaa tunataka ujamaa wenye usawa sio viongozi mabepari halafu wanatuhubiria ujamaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arrogant professor? Wakili wa viti maalumu jamaa walijua kumnyooosha aisee...first class 4.8 GPA
 
Acha ubaguzi mkuu, hata ningekuwa mtanganyika bado umesema mimi ni msukuma, read from the line

Sent using Jamii Forums mobile app
Umebaguliwa kwa kitu kipi?wewe umeandika tufate historia sasa nimeandika historia unanita mbaguzi,au kukuita ww ni mtanganyika ndio kosa,na ile tanganyika law society je nao ni wabaguzi?
 
Back
Top Bottom