Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
JF imegeuka jukwaa la kupinga serikali. Yaani imebadili gia anganiLabda nchi ya chadema, lkn JMTZ tuko pamoja na Waziri wetu, hutaki hama nchi yetu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF imegeuka jukwaa la kupinga serikali. Yaani imebadili gia anganiLabda nchi ya chadema, lkn JMTZ tuko pamoja na Waziri wetu, hutaki hama nchi yetu!
Mshaumbuka na sasa mmechutama, jipangeni bhabha kujitia kujua sana mbele ni Giza totolo, ati hamjaribiwi, iyo mikwala tupigeni sisi raia wema ila mjue baada ya Mungu night mzugu na si wa sports sports. Thaman ya tulichodai ilikuwa Sawa na gari aina ya Noah kwa kila mtanzania leo tunashereke billion 600, yani 16,500.00 kwa kila mTZ?? Hii ni kukwama asubuhi tu...Labda nchi ya chadema, lkn JMTZ tuko pamoja na Waziri wetu, hutaki hama nchi yetu!
Maanake ulielewaUekwisha haribu, that was negotiation not dialogue!
U know what forum this is?Tafsiri kuja kiswahili, ukunipeleka hiyo shulee ya unachotaka nikielewe
Nawe ungejibu kwa kithungu kuonyesha umahiri wako otherwise ni kusaka sifa za kijingaManeno meeengi; kiingereza kibovu; hoja hafifu; halafu unadirikikutoa madai kumtaka Prof. Kabudi ajiuzulu kwa kuwaAcacia wamesema wanatatizo la illiquidity? Lakini hakuna hata kwenye hizo press releases ambapo serikali wala BG waliahidi muamala husika kufanyika ndani ya timeframe fulani. Parotic argumentation could still be avoided if one tried to be intelligent.
Kuna mjanja mmoja alienda mbali zaidi na kusema kwamba ilibidi kucheza huo mchezo wa kuigiza ili kuzima gumzo la picha za simba wa Nairobi. Gallery yake ililuwa imejaa picha za yule simba tu. Kila MTU aliyemteua alikuwa anataka awe wa kwanza kumtumia boss. Unaweza kupima alitumiwa picha ngapiNawaza tu, kama haya yalijulikana kwamba subject to approval kule juu sasa kulikuwa na haja gani ya kupiga mayowe? why tusingesubiri approval au la? hivi sasa tumeleta taharuki kadhaa kwa wenye kuwazia Noah nk.
Kamati za prof Ossolo na prof Mruma siyo za kwanza mkuu. Kamati nyingi sana zilishaundwa huko nyuma na kufanya yote haya. Kumbuka kwa mujibu wa Mhe Lisu, prof Mruma alinakiri mambo kibao kutoka kqmati za zamaniBinafsi,naona kama nchi tumepiga hatua Fulani,mfano,serikali kuamua kufanya uchunguzi Na kubaini ilichoona kisha kukiweka hadharani Na RAIA kuona kuwa yaliyolalamikiwa mda mrefu,kwangu ni hatua mojawapo. Kuamua kujadili sehemu ya mikataba ni hatua nyingine
Mmh! Mkuu wewe sasa unazua maswali mengi mno. Kqmati zilizoundwa zimeitaja Acacia Mara 1000. Sasa mmh! Acha nisiyaulize maswali haya.Serikali ina mkataba na Barrick na ndio maana haijaongea na Acacia na ndio maana tulioingia nao mkataba wakaja, kwenye ile kamati inatoka Barrick na haitoki Acacia na pia Serikali inaweza kuwachukulia hatua Acacia , kwani wao hawakushiriki kwenye makubaliano sasa wanawezaje kusema hawalipi nani amewaambia wao ndio wanadaiwa
Wasiwasi ni nusu ya akiliAcheni ujinga mnaboa?! Huo
Barrick atalipa hizo. Ni Barrick imesema ni Barrick italipa. Ajiuzulu kwa lipi sijui.Kamati za prof Ossolo na prof Mruma siyo za kwanza mkuu. Kamati nyingi sana zilishaundwa huko nyuma na kufanya yote haya. Kumbuka kwa mujibu wa Mhe Lisu, prof Mruma alinakiri mambo kibao kutoka kqmati za zamani