Prof Kabudi: Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima. Tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima

Wameanza kutoka kwenye mashimo Kwa maoni ya wajumbe watano Tu WA kamati na uongo WA CHADEMA?.
 
Nashauri wasitishe msaada wa ARV!Yaani tuanze kununua ARV kama tunavyonunua madawa ya Cancer,patamu hapo!!!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ukiona ARVs zimekata,
hata raia tutajichunga na ngono zembe na ndio itakuwa dawa tosha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Maana kwa sasa raia wanadungana tu wakijua watakunywa ARVs ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ukiona ARVs zimekata,
hata raia tutajichunga na ngono zembe na ndio itakuwa dawa tosha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Maana kwa sasa raia wanadungana tu wakijua watakunywa ARVs ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Na ambao tayari wako kwenye guest list vipi?
 
Kwa hiyo nyie Chadema mpo tiari kuyumbishwa na kupoteza heshima yenu kwa sababu ya vitisho vya kunyimwa misaada.
Tunachotaka ni demokrasia, utawala Bora na kuheshimiwa haki zetu, ambazo Serikali imeziridhia na kuzikubali Kwa maandishi.
 
Kwa hiyo nyie Chadema mpo tiari kuyumbishwa na kupoteza heshima yenu kwa sababu ya vitisho vya kunyimwa misaada.
Hivi wewe ni msomi?

Suala linalozungumziwa ni matumizi ya fedha COVID 19, suala kukwepa swali halibadili swali ila litabakia pale pale...... ZIMETUMIKAJE? NA HUKU WALITUAMBIA HAWAJAKOPA?
 
Ngoja wapige BAN dawa za Ukimwi tu kwa miezi japo 6 tu...Tutaheshimiana!
Nchi yetu inajiweza, tutanunua tu, alafu ndipo uozo wao wa kupandikiza magonjwa kwa mtu mweusi ili watimize adhima zao za kuiumiza Africa ndipo utajulikana sasa hadharani na dunia italijua hilo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Alafu sisi tutapata tu dawa mbadala na huenda ndipo watatupa mwanya wa kuipata dawa ya tiba haswaa kwa Msaada wa wa taasisi yetu pendwa NIMR ikishirikana na waganga wa tiba asili๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Lakini mabeberu wana hoja ya msingi wanaulizia pesa za wananchi wao ambao wanalipa kodi, Prof nakukubali sana kukata mzizi wa fitna warudishiweni pesa zao kama Mwalimu alivyofanya au wapeni mchanganuo, kwani mlivyopeana kulikuwa hamna conditions zozote?
 
Jidanganyeni!
Ivi kwnn unashadadia pesa usizojijua zilipatikanaje kwa hao Wazungu?
Ivi unajua zilikuwa na mlengo gani kwa nchi maskini?
Alafu sie hatukuwaomba hizo pesa na walizitoa wakijua kabisa sisi corona haipo na kipindi wanazitoa tulikuwa tayari tusharudi kwenye maisha yetu ya kawaida,

Naona CHADEMA mnashikilia kinoma ili shoga yenu aweze kusamehewa na Mabeberu kwa ahadi feki alizowahakikishia hao waliomtuma kuja kugombea kuwa baada ya kupata dola atawapa MADINI yetu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, ila bahati mbaya watanzania walimstukia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, kajaribu kuitisha MAANDAMANO nayo yamefeli๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, sasa karudi kuwapanga mabwana zake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,

Endeleeeni kushangiliaa UFIPA na mtaaibika kawa kawaida yenu maana aibu ni kwenu kila mara

Refer kwa babu wa ndege napo mlishangilia weee, lkn mwishowe mlipata aibu kama zotee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,

CHADEMA ni loser kweli kweli,
Jifunzeni kuwa Wazalendo wa nchi yenu labda ndipo mnaweza kuhurumiwa na CCM ikawakabidhi nchi ijapo sidhani mtaongoza ata kwa miaka 10 ivi.
Nyambafu sana nyie UFIPA๐Ÿค”
 
Nilichogundua watanzania wengi wanaongozwa na emotions, kabudi yuko sahihi, misaada!!! Ndo tuanze kutetemeka kdg tu bunge la EU waeongelea, lakn sasa wachambuzi uchwara wanaendeshwa na emotional walivojaza upepo, utafikir cjui n nn sasa [emoji53]

 
Hizi ndio kauli tulizokuwa tunazihitaji kwa sasa.

Hii ni nchi huru tunauhuru wa kujiamulia mambo yetu km wanavyojiamulia mambo yao.

Haya tamko ndio hilo, vibaraka hameni nchi!

Naipenda sana TANZANIA
 
Huyu Mzee yeye mwemyewe si mwadilifu; kafanya njama wakisaidiana na chama chake na tume ya uchaguzi ili apite bila kupingwa.

Hana lolote. Cha msingi yeye na wenzake ndiyo wameishusha heshima ya nchi yetu kimataifa iliyojengwa kwa jasho jingi na kwa muda mrefu na waasisi wa taifa letu.
 
Hivi Tanzania ina heshima ganiโ€™b toka kwa nani?! Maskini huwa hana heshima duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ