Prof Kabudi: Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima. Tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima

Prof mzima anaweza taga mayai viza namna hii?

Kauli ngumu wakati una njaa.

Mkuu kua na adabu na heshima usije ukarudia kusema kua pro kabudi ana njaa au watanzania wana njaa, ni kheri kufa na njaa lakin so kukubali kuvuliwa nguo sokoni , hii ni nchi na sio kijiji weka akili hii na kingne 2025 tanzania ni kitu kingne tofauti na unavyozani,

Asantee mungu kwa kutupa dereva mzur anae jua sheria za barabarani maan bamsi kama nyny ndo mnafanya dereva wetu anapungunza mwendo wa kutufikisha kule ss tunapo pataka
 
Safari hii Kalamaganda Kabugi amebugi vibaya sana maana anaenda kuozea jera
Najiuliza ningekuwa Melo Id kama yako nimgehangaika kuikingia kufua isijulikane hadi kwenda mahakamani? Kwa michango kama huu wa kijinga?
 
Mkuu kwanza kuandika unakosea na ni kawaida yenu pro-MATAGA watu msiojua chochote kazi kukubali tu.

mungu badala ya Mungu
kua badala ya kuwa
pro badala ya Prof.
ana njaa badala ya hana njaa

Makosa hayajaisha twende kwenye mantiki. Kwa hiyo kama Prof. Kabudi hana njaa ndio atuharibie status yetu kimataifa? Kisa yeye ana uwezo wa kula kodi zetu wakati tukiwa na maisha magumu kutokana na effects za kauli zake za kejeli.
 
Prof mzima anaweza taga mayai viza namna hii?

Kauli ngumu wakati una njaa.
Mtu kama wewe tunakuweka katika kundi la watu waliodumaa kipindi cha utoto under fives, ndio maana uwezo wako kuhusu masuala ya utaifa uko chini sana.
 
Sema wewe umeifanyia nini tz cha maana zaidi? Au talalila za kwenye jamii forum
 
Nadhani sasa wameelewa UFIPA ila kwa ninavyo wajua ni SIKIO LA KUFA😂😂😂
 

Kweli kabisa ila zirudisheni fedha za watu ili tubaki na heshima yetu
 
Kabudi ni Prof anaedhani kila mhadhara ni kueleza theory za hustoria. You talking to the world alafu unatumia lugha ya ubabe na iliyokosa diplomasia?

Sishangai maana bado ni mbunge wa viti maalum
Mkuu unaonekana hata ujui unacho ongea kama mpaka Leo unadhani Prof kabudi ni mbunge wa viti maalum basi inaonekana wewe uliondoka kabla ya Mr mzungu
 
Profesa Majalala pumbavu Kabisa, huyu na Bashiru ndo wanamjaza Ujinga Magufuli
 
Heshima gani hiyo? hii hapa ni heshima ya nchi kweli? Ama aibu ya nchi? Ukisiia nchi kuwa mikononi mwa mbwa, ndio hiihapa.






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…