ππ€£Sasa huyu mbona vyote Hana?
Jinga kabisa weweKwanza hao wanatakiwa kutulipa fidia ya unyama waliotufanyia kipindi cha colonization....pia sisi tuna resources za kutosha kwahiyo wasituzingue
Foreign Minister tena Professor anatoa kauli kama za kina Bwege. Hajui hapo ndio anaharibu zaidi? Rais mtata na FM mtata.Ulitaka asemeje?.
Hatujalazimishwa kupokea misaada! Acha kupokea msaada muone cha mtema kuni!Prof Kabudi ambaye ni waziri mteule wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.
Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada.
Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema ulikuwa huru na wa haki na dunia nzima imeshangaa maana hatukutumia posta kama wale wengine lakini uchaguzi wetu umefanyika kwa amani kabisa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hiyo nafasi inafanya matako kulia mbwataProf mzima anaweza taga mayai viza namna hii?
Kauli ngumu wakati una njaa.
Prof Kabudi ambaye ni waziri mteule wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.
Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada.
Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema ulikuwa huru na wa haki na dunia nzima imeshangaa maana hatukutumia posta kama wale wengine lakini uchaguzi wetu umefanyika kwa amani kabisa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kabudi ana hasira ya kuondolewa ndoto za Urais, sasa ameamuwa kumhujumu Magufuli.Prof Kabudi kaukataa unyonge!
Utu haukanyagi demokrasia, utu unaheshimu haki za raia, utu unalinda maisha ya binadamu, utu hauzibi pumzi ya mwezio, utu unatoa uwanja sawa wa mashindano, utu hauna uoga bali husimamia na kusimama na kweli daima!Prof Kabudi ambaye ni waziri mteule wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.
Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada.
Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema ulikuwa huru na wa haki na dunia nzima imeshangaa maana hatukutumia posta kama wale wengine lakini uchaguzi wetu umefanyika kwa amani kabisa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Anavyo ila vipo tumboni amini maneno yangu!!Sasa huyu mbona vyote Hana?
Ila ya mbogamboga tu.Lazima ifike mahali tufanye mambo kwa kujiamini bhana, Prof Kabudi usiyumbishwe na kelele za wapiga makofi wa Mabeberu ππππ
Kazi kazi tu hakuna kucheka na beberu wala ndugu yake na beberu.
Kwani wewe upo nchi gani? Na Misaada ikipatikana inaenda kufanya shughuli zipi?Aseme CCM. Asiseme Tanzania.
Upuuzi mwingine wa karne hii!eti watasimsmia heshima,sio fedha,Mwalimu mwenyewe,alipopinduliwa na jeshi,aliwakimbilia hao hao wazungu kuomba msaada,Prof Kabudi ambaye ni waziri mteule wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.
Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada.
Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema ulikuwa huru na wa haki na dunia nzima imeshangaa maana hatukutumia posta kama wale wengine lakini uchaguzi wetu umefanyika kwa amani kabisa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
=========
Prof. Kabudi: Nayasema haya kwa sababu kizazi cha sasa wanadhani hii nchi ndogo, sisi ndio nchi pekee hatujawahi kushindwa vita, hakuna mahali majeshi yetu yalipokwenda yakashindwa vita. Si Zimbabwe, Msumbiji, Comoro, Seychelles, si Uganda na hivi karibuni sio DRC Congo.
Nawahamasisha pia na vyombo vyetu vya habari tujue nini cha kuiambia dunia na watanzania, uchaguzi huu katika bara la Afrika umekuwa tulivu, wa amani.
There is nobody in the world has ever conducted a perfect election, give me one country! There is no country in the world which has conducted a perfect election. Perfect election is only conducted in heaven.
Mataifa yote yanafanya uchaguzi ambao ni huru, haki na wawazi na sisi wa utulivu na amani. Lazima tuiambie dunia hivyo na Taifa hili, nimesema na narudia, halijawahi kupigishwa magoti.
Na si jambo la kukumbusha kila wakati, sipendi, haina maana tunataka kufanya hivyo. Tulivunja uhusiano wa kibalozi na Uingereza mwaka 65 mpaka 72 na Mwalimu hakuvunja tu balozi na Uingereza, aliwarudishia msaada wao wote wa paundi milioni 5 na wakati ule zilikuwa nyingi, aliwarudishia.
Sisi leo watu wakisema vikwazo tu, tunaanza tetemeka nini? Hivi mngekuwa wakati wa Mwalimu! Hivi Tanzania ya 65 ni Tanzania ya leo? Lakini aliona kati ya heshma ya Tanzania na kudhalilishwa, aliwaambia waingireza, tumeshindwa kuelewana katika haya, basi. Ingawa tulibaki kuwa wanachama wa commonwealth.
Wajerumani mwaka 64 walipoanza kumpa masharti mwalimu baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Ujerumani mashariki iko Zanzibar, Ujerumani Maghribi iko Tanzania bara, tukawaambia hapana, hamuwezi kuanza kunipa masharti. Suala la kufunga ubalozi wa Ujerumani Mashariki Zanzibar, si la kuamua mimi, tupeni muda.
Walipomletea kejeli alilihutubia Taifa, aliwafukuza wataalam wote wa kijerumani na aliwarudishia hela yao dochmark milioni 35, sisi leo watu wachache tu wakikaa kuzungumza, ooh tutafanya hivi! tayari watu kwenye mitandao.
Kati ya pesa na heshma ya nchi yetu, tutasimamia heshma ya nchi yetu. Kati ya misaada na utu wetu, tutasimamia utu wetu. Hatutakubali kutoheshimiwa na utu wetu kudharauliwa kwa sababu ya misaada na pesa lakini tutashirikiana na mataifa yote duniani ambayo, moja yatatuheshimu sisi ni Taifa huru na yanatuheshimu sisi ni binadamu tuli sawa na wanadamu wengine wote na tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshma yale ambayo wanadhani yamepungua kwetu na yale ambayo tunadhani yamepungua kwao, tuko tayari. We are ready for constructive engagement with those that respect we are sovereign state but who also respect that we are equal and as humans we have our dignity on those matters of principal, we will not compromise.
However we are ready to work with all nations in the world who share our values, sovereignity, equality of nation, human dignity and respect of all human kind and we will never, never allow anyone to use aid or assistance to undermine our sovereignity, NEVER.
That did not happen during the time of Mwalimu, it will never happen now and this is why I distributed this booklet to all staff from mwalimu Nyerere.
Hii ndio kauli iliomtia Mu Beligiji wenu bullets 32 mwilini.Professorial rubbish.
Ngoja wapige BAN dawa za Ukimwi tu kwa miezi japo 6 tu...Tutaheshimiana!Lazima ifike mahali tufanye mambo kwa kujiamini bhana, Prof Kabudi usiyumbishwe na kelele za wapiga makofi wa Mabeberu ππππ
Kazi kazi tu hakuna kucheka na beberu wala ndugu yake na beberu.
Kwani uongo hawakuchota mali zetu na kupeleka kwao?Jinga kabisa wewe
Niliipenda ila kwa bahati mbaya NJAAKALI hakumwelewaProf Kabudi ambaye ni waziri mteule wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.