Prof Kabudi: Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima. Tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima

Hahaha Kabudi kabanwa yeye na boss wake anataka kutulazimisha tuamini kuwa ni nchi imebanwa.

Yeye na mwenzake waondoke, sio kulazimisha migogoro ku favor interest zao.

Mkipigwa siingilii ng'o mpigwe hadi Muhamie Saudi Arabia.

Ondokeni nyie mgogoro huu sio wa Tanzania bali wa ccm tu.
 
 
Well said 0rof. Kabudi
 
Kwanini usiondoke wewe Kwanza?!
 
Hapo hakuna mgogoro? Kinachoitwa mgogoro kipo kwenye Jamii forums na mitandao mingine
 
Utu?!

Kutesa, Kuteka, Kubambikia kesi, kupora wapinzani ushindi wao, hayo hayahusishi utu?

Au huyo Prof. hajui maana ya utu.

Anyway bado hajajibu swali, Euro 27m iko wapi?
Hizo Euro zimetjmika Kama zilivyokusudiwa...wewe unadhani ziko wapi?
 
Akiendelea kukodoa ile mijicho yake atakuja kupata cancer sijui hana washauri
Ni mawazo na fikra za kigaidi...kumuombea mwenzio apate kansa utapata wewe Kwanza na pengine tayari unayo..ni ushetani kumuombea mwenzio maovu
 
Hawa wanasema kwasababu pesa zetu ndio wanakula na familia zao, litakalotokea yet halimgusi
Leta ushahidi wa kuliwa hizo fedha...na hapa halitatokea lolote...Tanzania itabaki kuwa nchi huru...
 
Kabudi ni mzee mpumbavu haijapata kutokea ulimwenguni kote, ngoja waanze nae apigwe vikwazo mpaka achanganyikiwe
Tulia wewe....umepanick siyo? Kabudi ni mwelewa na an intelligent person...ni mzalendo halisi wa nchi hii...
 
Ulichoandika hapa ni uongo mtupu..
 
kikundi kidogo cha wanasiasa wenye uchu na tamaaa kisifumbiwe macho na kuachiliwa kufanya kazi ya kuiabisha nchi yetu pasina sababu ya msingi wanapaswa watambue kuwa wana vunja heshima ya watanzania zaidi ya 50milioni, wao ni nani kati ya watanzania 50mln
 
Inaonekana jinsi gan wapinzani mnavolichukia taifa lenu kabudi kaongea mbona vizuri tu mnataka kuwekewa vikwazo ndo mfurahi duh kweli upinzani haufai kushika dola
 
Nakubalina na kauli ya mzee Benjamin William mkapa "Tanzania Kuna maprofesa uchwara"
 
Hili prof pumbavu kweli
 
Aseme CCM. Asiseme Tanzania.
Yeye ni mtanzania, yeye ni mwanaccm, yeye ni muwakilishi wa wananchi kupitia ccm, yeye ni waziri na anasimama kama serikali kutoa msimamo wa nchi

Kama hawawezi kutuheshimu kama tunavyowaheshimu watajibiwa tuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘
 
Anaongea kinotes kinotes Kama anafundisha wanafunzi wa chuo.


KAZI IPO
 
Lazima ifike mahali tufanye mambo kwa kujiamini bhana, Prof Kabudi usiyumbishwe na kelele za wapiga makofi wa Mabeberu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kazi kazi tu hakuna kucheka na beberu wala ndugu yake na beberu.
Nashauri wasitishe msaada wa ARV!Yaani tuanze kununua ARV kama tunavyonunua madawa ya Cancer,patamu hapo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…