Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hivi nchibado imepinda?Ataanzaje na Katiba Mpya wakati bosi wake kasema mambo ya Katiba Mpya hana habari nayo yuko bize na kunyoosha nchi kwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nchibado imepinda?Ataanzaje na Katiba Mpya wakati bosi wake kasema mambo ya Katiba Mpya hana habari nayo yuko bize na kunyoosha nchi kwanza?
Huyu Prof. Alikuwa mpaka anatoa mapovu kuitetea katiba inayopendekezwa nadhani anaweza kuipiganiaThubutu.
Anajaribu kutikisa kiberiti cha Magufuli.
Kama hataonywa basi atatumbuliwa haraka sana. Hizo hoja za katiba mpya Magufuli alishasema hazitaki kabisa kuzisikia kwa sababu sio wakati wake na hazina maana kwake.
Hapana. Kabudi ni miongoni mwa watu waliopinga vikali uchakachuaji wa rasimu ya 2 ya Warioba uliyofanywa na BMK chini ya hayati siťta.Tunaanzia na tulipoishia.Tunasubiri kura ya maoni tu YES au NO!
Haahahahhaha mkuu mie nadoubt maana kma polepole kaikana hadharani na kitila mkumbo pia sioni wapi kabudi ataing'ang'ania!!!! I can picture him sayin KATIBA MPYA SIO AJENDA YA SASA WANANCHI WANATALA MAJI NA UMEMEKama akipata chansi inarudi ya warioba
Mkuu ina maana kabudi alifight sana kwa ajili ya rasimu ya warioba kuliko polepole??? Ila leo hii polepoe mbona ametusaliti how can we rrust kabudiHapana. Kabudi ni miongoni mwa watu waliopinga vikali uchakachuaji wa rasimu ya 2 ya Warioba uliyofanywa na BMK chini ya hayati siťta.
Nakumbuka Palamagamba Kabudi aliwahi kurusha kijembe kwa serikali ya JK akisema "inashupaa" badala ya "kuduwa".
Ila kweli mkuu. Njaa hubomoa misimamo ya watuMkuu ina maana kabudi alifight sana kwa ajili ya rasimu ya warioba kuliko polepole??? Ila leo hii polepoe mbona ametusaliti how can we rrust kabudi
Tehehe tehe.Wengi wape,mchakato ulikfikia kwenye kura ya maoni.Tuikubali katiba pendekezwa au tuikataeHapana. Kabudi ni miongoni mwa watu waliopinga vikali uchakachuaji wa rasimu ya 2 ya Warioba uliyofanywa na BMK chini ya hayati siťta.
Nakumbuka Palamagamba Kabudi aliwahi kurusha kijembe kwa serikali ya JK akisema "inashupaa" badala ya "kuduwa".
Duuh! Ccm imeshika mpiniTehehe tehe.Wengi wape,mchakato ulikfikia kwenye kura ya maoni.Tuikubali katiba pendekezwa au tuikatae
Hata nyie mnaweza kuikata katiba pendekezwa kwa kutumia makali yenu tukaendelea na katiba iliopoDuuh! Ccm imeshika mpini
Tukiikataa katiba pendekezwa na kuendeleaa na ya sasa AMA kuikubali katiba pendekezwa ni sawa na BURE. Hatujafanya kitu.Hata nyie mnaweza kuikata katiba pendekezwa kwa kutumia makali yenu tukaendelea na katiba iliopo
Kusoma si unajua kaka tafuta ilani ya ccm ujionee mwenyeweMkuu Tumuulize yeye
Kuelekeza hilo swali kwangu ni kunionea
Huyu hajitambui anajisemea tu, ndio mapropesa wetu! SIMSHANGAI KAMWE!Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa mchakato wa Katiba mpya uko pale pale.
Prof. Kabudi amesema hayo wakati alipokutana na Kamati ya Katiba na Sheria ya Bunge, amesema kuwa hajakutana na viongozi wake kuzungumzia suala la Katiba Mpya, ingawa anajua mambo mengine kuhusu mchakato huo ambao wakati wa maandalizi yake alikuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Amesema kuwa mchakato wa Katiba mpya uko pale pale hivyo pindi mchakato huo utakapo kamilika kwenye ofisi yake atauwasilisha kwenye kamati hiyo.
Aidha, Prof. Kabudi ameongeza kuwa ana muda mfupi katika wizara hiyo na kwamba, hajapata muda wa kukutana na mabosi wake akiwamo Waziri Mkuu, ili wazungumzie suala la Katiba Mpya.
Hata hivyo, amesema kuwa mchakato huo unahitaji umakini mkubwa hivyo atafanya kazi kulingana na utaratibu wa kisheria ili liwe na mwanzo na mwisho mzuri.
Chanzo: Dar24