Prof. Kabudi kumrithi Magufuli 2025?

Paschal, unasema Kabudi anakabiliwa na vitu fulani, ila kwangu mim namwona kama mwoga kwenye maamuzi na mtu asiyetaka lawama,,hili kwa taasis hii si zuri maana lazima uwe na maauzi la sivyo watakuamulia wengine na utaumiza watu,
Makonda ni mzuri lakini ujana bado unamsumbua yaani utulivu wa maamuzi, kwa muono wangu huyu hafai, Kigwa nae kama Makonda,badae wanaweza kuja kuwa viongozi wazuri sana lakini kwa hii miaka 5 tu ijayo inaweza kuwa bado, Prof Mbarawa yuko vizuri, Mwinyi, yuko vizuri ingawa amekaa na wizara ambayo si rahisi sana kuonekana mapungufu kijamii,

Kwangu raisi ajaye natamani awe our current PM, Majaliwa Majaliwa, kazi inapigwa vizuri tu na maturity ya kimaongozi ipo,,ametulia mzee wa watu kwenye maamuzi na akisema amemanisha, huu ni upande wa ccm

Kwa wenzetu, upande wa pili baada ya Dr Slaa kuondoka, Lisu anaweza kufaa sana lakini bahati mbaya watu wanaweza tumia tukio lake kama fimbo kwake na wakapenyeza vyao,,yaani mataifa ya nje, Lisu yuko vizuri sana lakini kwa hili anatakiwa kuwa mwangalifu akipata nafasi hiyo kusimamia nchi yake, control ya influence ya nje ya mipaka yetu muhimu, nimeweka hii kwa mfano wa Raulent Kabila, Prof Baregu kwa maturity ya kimaongozi pia anaweza kutufaa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda baada 2020 ataslimu na kuwa muislam ili hiyo ndote yako iwe kweli.

Kabudi pamoja na kusoma anachangamoto nyingi.

Rejea ule uzi wa wako wa "insanity". Nadhani una ushahidi ambao hutaki kutuwekea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ewaa,swadakta , hapo sawa , wakimbiza kijiti wanaongezeka ndio uzuri wa chama chenu huu

MTC | 101| [emoji769]
 
Kwa vijana wanaochopukia, Lameck mwana wa Nchemba bado anaweza kufaa pia kwa miaka ya mbeleni, pamoja na ubaya anaotajwa nao na udhaifu bado ni kijana mzuri, mabadiliko ya JPM yamemshape kiasi fulani, alivokuwa pindi yuko wizara ya fedha kama naibu na kina Malima no tofauti na sasa,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
According to my inner source, Rais ajaye anatoka ukanda wa Pwani na yumo ndani ya baraza la mawaziri na by the time atakuwa na not more than 52 years

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kwa maelezo yako, probably that silent rule will be overruled, ila makonda kweli? MAKONDA awe Rais wa nchi hii? No wonder Waafrika tupo nyuma kimaendeleo, suala tu la Ku suggest makonda ni upungufu Mkubwa sana wa fikra!
 
UNABOA NA THREADS ZAKO UCHWARA. WEWE JAMAA MSHAMBA SANA SIJAPATA KUONA. PIA I HATE YOU AS HELL
 
Duuh! Nchemba ni kijan[emoji50]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila raisi ajae awe:
Mcha Mungu wa kweli ( mwenye hofu ya Mungu)
asiwe mkabila na mkanda
Mwana demokrasia
Asiwe mvunja katiba
asiwe mwongo
mshirikishaji wa mihimili mingine (asiwe ndie mwenye maamuzi ya kila kitu)
 
Amezaliwa tarehe 24 Februari, 1956 na hadi 2025 atakuwa umri wa miaka 69 na endapo atatawala hadi 2035 atakuwa na miaka 79.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…