Prof. Kabudi kumrithi Magufuli 2025?

Prof. Kabudi kumrithi Magufuli 2025?

Jack Beur

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2010
Posts
222
Reaction score
246
Hii thread ni Political Speculations tu.

Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa Magufuli na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.

Time will tell.....
 
Bado sijamuona kijana smart wa kumrithi Magufuli...labda mimi ha ha ha!
 
Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana JPM akamrecommend Prof.Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa JMT 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa JPM na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.
Time will tell.....
Ajitahidi kumuozesha kabla muda haujafika maana taasisi ya uraisi bila mke ni ngumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii thread ni Political Speculations tu.
Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana JPM akamrecommend Prof.Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa JMT 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa JPM na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.
Time will tell.....
Naunga mkono hoja ya political speculation ya mtu yoyote kuweza kuwa rais wa Tanzania, japo trends za urais kwa mujibu wa silent rules za CCM zinaelekeza rais ajae anapaswa kuwa Muislamu kwa mujibu wa kanuni ya siri ya urais ni kupokezana kati ya Mkristo na Muislamu.

Kwa vile rais wa sasa ni Mkristo, then rais ajae ni lazima awe Muislamu. Hivyo silent movement ya kuwajeruhi every likely candidates ambao ni Waislamu imeanza, ilianza kwa Prof Mbarawa

Kufuatia huyu kuwa likely candidate, karata zimeisha changwa kumtoa kwenye wizara ambayo ata ngara na kumuweka wizara ya kifo ambayo ni sawa na kumtupia tuu kamba wakimsubiri ajinyonge

Akaja January Makamba,

Walimtafutia visa kwenye mazingira, wakakosa, jamaa akaja kujikwaa kwenye kumsaidia baba yake kwenye ile voice note, jamaa pale pale akala kichwa!.

Sasa threth ni Jafo, Dr. Mwinyi na Dr. Kigwa, naona Kigwa gazeti la Jamhuri limeisha anza kumpumulia!. Jafo na Dr. Mwinyi bado hawajapata pa kuwashikia.

Licha ya hii kanuni ya kupokezana kwa dini, kuna baadhi ya watu ni wazuri kumpokea Magufuli ila sio Waislamu mmoja wapo ni huyu

Hivyo kumtaja Prof. Kabudi naye kuwa likely sio mbaya, ila Kabudi hawezi kuwa rais wa nchi hii kwasababu anakabiliwa na changamoto fulani hivi ziwezi kuitaja maana nitanyooshewa vidole vya ....
P
 
Hahahaha, kuna Uzi zako zina bashiri MTU mwingine anko ,au umesahau ?

MTC | 101| [emoji769]
Hakunaga limit number ya ubashiri

P
 
Bado sijamuona kijana smart wa kumrithi Magufuli...labda mimi ha ha ha!

Sasa kama viwanda vimemshinda na ww ndio unamsujudia, huoni tutarudi huko huko? Na wewe iwapo utafanikiwa kumrithi utaendelea kumiliki kundi la watu wasiojulikana na kunajisi box la kura?
 
Naunga mkono hoja ya political speculation ya mtu yoyote kuweza kuwa rais wa Tanzania, japo trends za urais kwa mujibu wa silent rules za CCM zinaelekeza rais ajae anapaswa kuwa Muislamu kwa mujibu wa kanuni ya siri ya urais ni kupokezana kati ya Mkristo na Muislamu.

Kwa vile rais wa sasa ni Mkristo, then rais ajae ni lazima awe Muislamu. Hivyo silent movement ya kuwajeruhi every likely candidates ambao ni Waislamu imeanza, ilianza kwa Prof Mbarawa

Kufuatia huyu kuwa likely candidate, karata zimeisha changwa kumtoa kwenye wizara ambayo ata ngara na kumuweka wizara ya kifo ambayo ni sawa na kumtupia tuu kamba wakimsubiri ajinyonge

Akaja January Makamba,

Walimtafutia visa kwenye mazingira, wakakosa, jamaa akaja kujikwaa kwenye kumsaidia baba yake kwenye ile voice note, jamaa pale pale akala kichwa!.

Sasa threth ni Jafo, Dr. Mwinyi na Dr. Kigwa, naona Kigwa gazeti la Jamhuri limeisha anza kumpumulia!. Jafo na Dr. Mwinyi bado hawajapata pa kuwashikia.

Licha ya hii kanuni ya kupokezana kwa dini, kuna baadhi ya watu ni wazuri kumpokea Magufuli ila sio Waislamu mmoja wapo ni huyu

Hivyo kumtaja Prof. Kabudi naye kuwa likely sio mbaya, ila Kabudi hawezi kuwa rais wa nchi hii kwasababu anakabiliwa na changamoto fulani hivi ziwezi kuitaja maana nitanyooshewa vidole vya ....
P
Yote yanawezekana ingawa taifa litaweza kusimama pale tu, tutakapoweza kuondokana 'na mitazamo ya kidini.
 
Hii thread ni Political Speculations tu.

Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa Magufuli na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.

Time will tell.....
Ni zamu ya muislam kiutaratibu tena toka zanzibar
 
Back
Top Bottom