Wizara ya Afya ina bind na WHO, haiwezi kabisa kushiriki mambo ya ramli za kienyeji..hakuna kabisa.
Kama tukifanya hivyo basi rasmi tutajitenga na mashitaka yote ya afya duniani..
Huu ugonjwa ni wa kisayansi na ni lazima kujikinga ama kujitibia kisayansi
Hayo ya kikombe vya madagaska, kujifunza ni add on tu...aka kujiongeza kivyako.
WHO wenye hati milki ya huu ugonjwa wanasema so far hauna tiba wala chanjo....
Jiepushe na mikusanyiko, nawa mikono yako kwa maji tiririka, vaa barakoa muda wote unapotoka kwako.
(Stay home )