Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Utafiti unafanywa kwa viongozi kwanza
Je, kama Ina madhara? Huoni kwamba Taifa litapoteza Viongozi wake kwa UZEMBE?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafiti unafanywa kwa viongozi kwanza
Kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka, kujipaka kitakasa mikono, kuvaa barakoa, kuacha kuzurura ovyo, kujifukiza kwa tahadhari, kunywa "Corona Mix" ya Tangawizi, kitunguu saumu, kitunguu maji, limao na asali kila baada ya siku moja.Yaani kuna muda unashindwa elewa watanzania tunataka nini, ni ujanja lawama, ujuaji, ukosiaji
Korona ipo chukua tahadhari
It is never too late to begin. Start now
Fuatilia wewe alichosema mganga mkuu wa serikali. Hakuna jopo wala m/kiti hapo. Kiki hizo kiki mbele kwa mbele. Dawa hakuna. Ili iwe dawa lazima simbilisi kwanza. Wamepatikaña kwa wingi Tanzania. Wa kwanza akiwa ni propesa Kabundi!Fuatilia unaambiwa Prof. Kabudi aliongoza jopo la wataalamu ambapo baada ya kutua Madagascar jopo hilo na wale wa huko walikaa masaa 4 wakijadili masuala ya kitaalamu.
Tunaweza sema Katika hili ni Mwenyekiti wa jopo.