Kama wangeambiwa hiyo dawa ni fifty fifty ina sumu unaweza ukafa wangewajaribishia makapuku
Simbilisi!!,what d'you mean?Kwa nini aifuate yeye? Añgekwenda naibu waziri ambaye ni mtaalamu wa tiba. Au basi kama ni suala la tiba mbadala angeenda Musukuma Kalimanzira. Propesa anasema dawa ifanyiwe utafiti kwanza! Sasa hiyo ni dawa? Rajoelina anaomba WHO waithibitishe. Simbilisi wamepatikana katika nchi nyingine 4 za Afrika na Tanzania ikiwemo!
Simbilisi!!,what d'you mean?
Hivi wewe mbuziii cdm walikufanya nn?Wewe Chadema kula kulala usinitishe
Najaribu kulink hii maana na Maelezo ya post niliyoqoute natoka kapa.Guinea pigs, experimental specimens.
Leo huna madai dhidi ya mabeberu?Chadema kwa kuvunja sheria hawajambo
Kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka, kujipaka kitakasa mikono, kuvaa barakoa, kuacha kuzurura ovyo, kujifukiza kwa tahadhari, kunywa "Corona Mix" ya Tangawizi, kitunguu saumu, kitunguu maji, limao na asali kila baada ya siku moja.
DHL wangezifikisha siku hiyohiyo mbona. Chupa mbili tunawasha ndege, Sasa siku ya kwenda kubeba Mzigo wenyewe itakuwaje?wa kuzidi kufanywa majuha[emoji23].
hizo sample zilishindwa kutumwa kama parcel tu mpaka kupelekea ndege nzima ya raisi kwenda Madagascar
I mean Guinea pigs!Simbilisi!!,what d'you mean?
Uko sahihi, lakini chupa mbili unawasha Ndege kuzifuata, mbona mmoja angesafiri kwenda na kurudi nazo.ni sahihi kwa wataalam.wa bongo kuifanyia utafiti na kama wakiona inafaa ndo waanze kuiruhusu itumike sizani km sahihi kuiamini madagasca moja kw moja bora wajilizishe kwanza ....
Itakuwa nayeye ni sehemu ya utafiti mkuuNilisema mimi, amekunywa dawa za mwenye dawa zake akidhani ni Vimto. Ila sasa kama zililetwa kwa ajili ya utafiti ilikuwaje yeye akafungua chupa na kuanza kuinywa hadharani?
Hivi hawa majamaa yameshawaoneni kwamba watanzania ni maamuma sana au?
Najaribu kulink hii maana na Maelezo ya post niliyoqoute natoka kapa.