Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

Profesa Majalala kaionja dawa kaona tamu, kaamua kubadili gia angani ili wafaidi wachache... ni mambo za kula na kipofu tu.
 
Kwa nini aifuate yeye? Añgekwenda naibu waziri ambaye ni mtaalamu wa tiba. Au basi kama ni suala la tiba mbadala angeenda Musukuma Kalimanzira. Propesa anasema dawa ifanyiwe utafiti kwanza! Sasa hiyo ni dawa? Rajoelina anaomba WHO waithibitishe. Simbilisi wamepatikana katika nchi nyingine 4 za Afrika na Tanzania ikiwemo!
Simbilisi!!,what d'you mean?
 
Hakuna kitu hapo ni siasa tu hizo. Waziri wa afya ameona ajikate maanake ni usanii tu.

Angejitokeza hapo, kimataifa angetakiwa ajiuzulu kwa kujihusisha na mambo yasiyoendana na taaluma ya afya.
 
Cha msingi tuendelee kujikinga kwa kufuata taratibu zote kwa mhjibu wa Wizara ya Afya.
 
Kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka, kujipaka kitakasa mikono, kuvaa barakoa, kuacha kuzurura ovyo, kujifukiza kwa tahadhari, kunywa "Corona Mix" ya Tangawizi, kitunguu saumu, kitunguu maji, limao na asali kila baada ya siku moja.

Sauti iko chini naongeza wasikie


It is never too late to begin. Start now
 
ni sahihi kwa wataalam.wa bongo kuifanyia utafiti na kama wakiona inafaa ndo waanze kuiruhusu itumike sizani km sahihi kuiamini madagasca moja kw moja bora wajilizishe kwanza ....
Uko sahihi, lakini chupa mbili unawasha Ndege kuzifuata, mbona mmoja angesafiri kwenda na kurudi nazo.

Au balozi wa kule angeambiwa alete tu chupa hizo mbili. Hakukuwa na haja ya kutumia gharama kubwa kwenda kubeba sample.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia usiitunze ikageuka gongo, kwani mweshimiwa naye daktari? Au mnajaribisha na familia zenu kwanza mmmm haya.

Hivi Watanzania ni mbumbumbu kiasi hiki kweli? Wakati walisema ndege itaifuata dawa huko, balozi ana kazi gani huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom