Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

Hahahahaha kuwa na aibu basi huoni maelezo ya awali na sasa hivi ni tofauti?kizia

Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo gani hayo ya awali? Hivi Waziri Kabudi, au Waziri wa Afya, au Rais mwenyewe, aliwahi kutoa maelezo hapo awali tofauti na yaliyotolewa sasa?

Hii ni kwa sababu tu ya kusikiliza vitu vya vijiweni na kumbambikizia mtu kwamba amesema hivi. Kariri (quote) hayo maelezo ya awali ili tuone kwamba kweli maelezo yamebadilika.
 
Halafu eti linasema NIMEIGONGA!! SIO KIKOMBE CHA BABU[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jamaa kanywa sumu halafu eti anatubania[emoji1787][emoji1787]

Majalala kazingua sana

Kikombe Cha Madagascar[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisema mimi, amekunywa dawa za mwenye dawa zake akidhani ni Vimto. Ila sasa kama zililetwa kwa ajili ya utafiti ilikuwaje yeye akafungua chupa na kuanza kuinywa hadharani?

Hivi hawa majamaa yameshawaoneni kwamba watanzania ni maamuma sana au?
Hahahahaahhaha kabu wa kabu ni nomaaa ariiiifu, kapiga toti za kutosha halafu katukazia..
 
Kauli na matendo yake vinapingana. Inawezekana ililetwa kwa ajili ya mtu mmoja sasa ikabidi ioneshwe kwamba imeletwa kwa ajili ya watu wengi. Yaani yeye anakunywa ila watanzania wenzake ndio wasubiri uchunguzi!!??

Bora angeachwa kule kule jalalani!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nacheka lkn sijawahi kujua chanzo cha jamaa kuitwa profesa wa majalalani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…