Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Nimeelewa kaka shukraniUmeuliza maana ya Simbilisi, au sivyo ndugu.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeelewa kaka shukraniUmeuliza maana ya Simbilisi, au sivyo ndugu.?
Maelezo gani hayo ya awali? Hivi Waziri Kabudi, au Waziri wa Afya, au Rais mwenyewe, aliwahi kutoa maelezo hapo awali tofauti na yaliyotolewa sasa?Hahahahaha kuwa na aibu basi huoni maelezo ya awali na sasa hivi ni tofauti?kizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba mkuu unamaanisha sisi tumekuwa watest mitambo au😄I mean Guinea pigs!
Sio yeye kweli akunwe halafu amsifie mkunaji kuwa yuko vizuliKuna siku utakuta mke wako anapigwa rungu nyama, Utasia mke wangu unakunwa vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na akili basi bro mbona unadhalilikaKama utafiti haujafanyika aliwezaje kunywa tena hadharani.?
Halafu eti linasema NIMEIGONGA!! SIO KIKOMBE CHA BABU[emoji16][emoji16][emoji16]Hi nchi ina vituko sana utafiti gani unataka ufanye katika hiyo dawa? utafiti nzuri ni kuwapelekea wagonjwa waliopo Amana, Mwananyamala na Mloganzila
Wewe Kabudi mbona umekunywa alafu wagonjwa ndio hadi wasubiri utafiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapelekeni wagonjwa AmanaChadema kwa kuvunja sheria hawajambo
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] mwanzo mzuri wa kufanyaje??
Chaking ndiyo kufanya nini Comrade?
Daah we jamaa una uwazimu sana wa kiwango Cha lami[emoji1787][emoji1787]Chadema kwa kuvunja sheria hawajambo
Kwenye hizo chupa wewe umepewa ngapi?Huu ni mwanzo mzuri
Jamaa kanywa sumu halafu eti anatubania[emoji1787][emoji1787]Nimemsikiliza Mh Palamagamba Kabudi na wataalamu alio andamana nao kwenda kufata KIKOMBE cha MADAGASCA.
Hakika nimepatwa na mshangao mkubwa hasa pale nilipo sikia kuwa walipanda ndege ya Rais kwenda kufata chupa mbili kwa ajili ya kufanya uchunguzi kama kweli ni dawa au la?
Sasa najiuliza kama umefata Dawa ya majaribio kaa nini kuna picha zinaonesha ukiwa unakunywa kikombe hicho ambacho hakija dhibitishwa wataalam wa kutoka Tanzania?...
[emoji16][emoji16][emoji16]Kama utafiti haujafanyika aliwezaje kunywa tena hadharani.?
Hahahahaahhaha kabu wa kabu ni nomaaa ariiiifu, kapiga toti za kutosha halafu katukazia..Nilisema mimi, amekunywa dawa za mwenye dawa zake akidhani ni Vimto. Ila sasa kama zililetwa kwa ajili ya utafiti ilikuwaje yeye akafungua chupa na kuanza kuinywa hadharani?
Hivi hawa majamaa yameshawaoneni kwamba watanzania ni maamuma sana au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nacheka lkn sijawahi kujua chanzo cha jamaa kuitwa profesa wa majalalaniKauli na matendo yake vinapingana. Inawezekana ililetwa kwa ajili ya mtu mmoja sasa ikabidi ioneshwe kwamba imeletwa kwa ajili ya watu wengi. Yaani yeye anakunywa ila watanzania wenzake ndio wasubiri uchunguzi!!??
Bora angeachwa kule kule jalalani!!