kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
naona chatle inakua loliondo nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna stock ya box tisa ChatoHakitafua dafu, niamini mimi!
Unaweza kushangaa inawezekanaje profesa kufanya ujinga kama huu ila ni wa kuonea huruma tu kwa sababu kufanya kazi na psychiatric president siyo kazi rahisiTuna stock ya box tisa Chato
Nia na madhumuni ya safari ilikuwa kumletea baba dawa, wengine pigeni mzigo mlipe kodi na October msisahau kulichagua jembe kutoka Chato.Unaweza kushangaa inawezekanaje profesa kufanya ujinga kama huu ila ni wa kuonea huruma tu kwa sababu kufanya kazi na psychiatric president siyo kazi rahisiView attachment 1444696
Hata dawa toka Ulaya ufanyiwa utafiti zina kemikali gani ndani, na kama ni salama kunywa na haina kemikali za ziada pia ni dawa ya kweli sio sumu.Nendeni mkatoe hizo dawa kwa wagonjwa halafu mtuletee mrejesho, huwezi kuanza kufanyia utafiti dawa ambayo imeshatolewa kwa ajili ya matumizi.....mbona hapa hapa nchini kuna baadhi ya watu wamedai wana dawa ya korona, halijatumwa hata guta kwenda kuzichukua na kuzifanyia huo utafiti...
Hata dawa toka Ulaya ufanyiwa utafiti zina kemikali gani ndani, na kama ni salama kunywa na haina kemikali za ziada pia ni dawa ya kweli sio sumu. Hata mitishamba inayokubalika na serikali inafanyiwa utafiti kwanza, utafiti huu sio wa kujua kama dawa inaponyesha, ni kujua usalama wake.Utetezi wa kijinga sana, unachoma pesa za walipa kodi, kwa kitu kisichokuwa na manufaa kwa wananchi.
Kulikuwa na haja kutuma ndege kufuata chupa mbili?!
Ni tafiti ngapi za dawa za asili za hapa nchini mnazofanya, maana hapa tumesikia watu wa tiba asili wakisema wanadawa za kutibu Corona, au nini kilifanya muwaamini Madagascar?!
Dawa zote zinazoingizwa nchini huwa mnazifanyia utafiti kabla ya wananchi kuzitumia?!
Mbona dawa za kujifukiza mliwataka wananchi wajifukize bila utafiti?!
Utafiti unatafiti nini, na kwa muda gani?!
Hah hah, kumbe jiwe alikunywa kikombe cha babu! Samunge yetu sasa ni Madagascar!
Halafu utafiti wa kuonyesha inaponyesha anafanya nani? Na hizo dawa zingine hufuatwa na ndege ya rais?!Hata dawa toka Ulaya ufanyiwa utafiti zina kemikali gani ndani, na kama ni salama kunywa na haina kemikali za ziada pia ni dawa ya kweli sio sumu. Hata mitishamba inayokubalika na serikali inafanyiwa utafiti kwanza, utafiti huu sio wa kujua kama dawa inaponyesha, ni kujua usalama wake.
Mbona hata kwenye mambo yamakinikia ndio alikuwa msemaji??😂😂😂😂😂 kifupi jamaa yeye ndio kila kitu mzee wakubagaza!!!Nijuavyo mimi msemaji wa maswala ya tiba na dawa kisekta ni waziri wa afya au Naibu wake wakisaidiwa na wataalamu wa wizara...
Sidhani kama atagombea tena labda awe ni kichaa kama Mobutu kwa sababu mpaka vikao vya SADC anavikimbia wakati yeye ndiye mwenyekiti!Nia na madhumuni ya safari ilikuwa kumletea baba dawa, wengine pigeni mzigo mlipe kodi na October msisahau kulichagua jembe kutoka Chato.