Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Bila kadi ya chama cha kijani hakuna kunywa dawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awamu ya tano mambo utawala wa kisheria, utawala bora na protokali havina nafasi kila mtu anajifanyia kivyake anavyojua.
Jana nimejiuliza kwa nn bajeti ya wizara ya ujenzi iwasilishwe na Jenista na si naibu wa wizara hyo kama waziri kapata dhalula.
Jibu ni awamu ya tano
Duh huyu Mtu bana Mi nimeshindwa ata kuelewa uwezo wake ,Hivi nilini ameweza kuhojiwa na TV yoyote ile ata kama ni TBCSidhani kama atagombea tena labda awe ni kichaa kama Mobutu kwa sababu mpaka vikao vya SADC anavikimbia wakati yeye ndiye mwenyekiti!
Wawe makini zisije kuchacha huko wanakoenda kuzihifadhi kabla utafiti haujakamilika...Ndio maana wamechukua Box 13 tu kwa ajili ya watu wa "CHATTLE".
Ipo.Ila kwenye mwongozo uliotolewa na wizara ya Afya kuhusu corona,hiyo miti shamba hamna
Nijuavyo mimi msemaji wa maswala ya tiba na dawa kisekta ni waziri wa afya au Naibu wake wakisaidiwa na wataalamu wa wizara...
Mbona yeye kashakunywa chupa nzima???Kumbe!
So atasimamia na utafiti kama inafaa au la?
Ndio ujue hao watawala uchwara wanaoiogopa sana corona ila wanatuambia ni kacorona tu hakana mazalaameamua kwa hiari yake bila kulazimishwa na mtu kuinywa chupa nzima
Kwa nini aifuate yeye? Añgekwenda naibu waziri ambaye ni mtaalamu wa tiba. Au basi kama ni suala la tiba mbadala angeenda Musukuma Kalimanzira. Propesa anasema dawa ifanyiwe utafiti kwanza! Sasa hiyo ni dawa? Rajoelina anaomba WHO waithibitishe. Simbilisi wamepatikana katika nchi nyingine 4 za Afrika na Tanzania ikiwemo!
Tumeshindwa kujua ni nini hasa, imebidi tuiite Kikombe cha Madagascar, maana hata kike kikombe cha Samunge kilikuwa na dosage yake.Kwa kawaida any medicine in form of Liquid or Tabs lazima iwe na DOSAGE e.g. 1x1, 1x2, 2x2,2x3 a day etc.
Picha zinaonesha watu wanakunywa kwa glasi kama energy drink....Je, hii dawa ni kama kinywaji? Tunaomba ufafanuzi.
Kwa nchi za Africa sanduku la kura halina maana yoyote mkuu.Ni mengi sana mkuu lakini walikuwa wanaficha rangi zao..ila sasa ndo tunaona rangi zao halisi..hakikisheni mmejiandikisha kwenye daftari la kupigia kura ili tukawashangaze ikifika October