Prof. Kabudi: Mfumo wa vyama vingi sio Uadui, sio vitisho ni kuwasaidia Watanzania wote

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Mfumo wa demokrasia wa vyama vingi si uadui, sio uhasama, sio shari, sio vitisho. Mfumo wa vyama vingi ni kuwasaidia Watanzania wote wa maoni tofauti, wa mawazo tofauti, wa misemo tofauti kukaa pamoja kujadili mustakabali wa taifa lao." - Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu)

Subiri waliolishwa upupu huko chamanii waje .....wanavyofundishwa kudanganya masikini na waliokosa fursa ya elimu....hutaamini
 
"Mfumo wa demokrasia wa vyama vingi si uadui, sio uhasama, sio shari, sio vitisho. Mfumo wa vyama vingi ni kuwasaidia Watanzania wote wa maoni tofauti, wa mawazo tofauti, wa misemo tofauti kukaa pamoja kujadili mustakabali wa taifa lao." - Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu)
View attachment 3685934
Kitu kimoja nashangaa sana nchini kwetu

Iweje kiongozi au waziri akiwa na bendera ya chama cha mapinduzi anapewa airtime kufundisha vyama vingine kuhusu demokrasia.

Hawa watu ni chawa na walinda ugali na maslahi yao binafsi, si maslahi ya taifa
 
Kati ya watu wapumbavu serikalini huyu ni mmojawapo..hana akili kabisa huyu!
Unaongelea mambo ya kuitwa haramu..tafuta chanzo, mbona miaka 5 nyuma hukuitwa hivyo..unahangaika na jina unaacha kushughulika na matendo mabaya kbs ya utekaji na mauaji yanayofanywa na vyombo vya dola..mzee mjinga sana huyu! Umri huu ni wa kutengeneza na muumba wako..yeye anasimama na maharamia..pumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom