johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
100% CCM walimuua Sokoine.Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi amesema baada ya Kifo Cha Sokoine Maneno mengi yalisemwa ikiwemo " aliuawa kwa njama"
Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika Kifo Cha Sokoine Mwalimu Nyerere Alihusika au Alifaidika na Kifo hicho
Mwandishi huyo alisema Nyerere alihofia Sokoine akiwa Rais atapendelea mfumo wa Sekta Binafsi
Prof Kabudi anasema Mwalimu Nyerere alisikitika sana baada ya kusoma Makala hayo na kumwomba Mungu wa Mbinguni amsamehe Mwandishi yule
Source: Mwanahalisi Digital
Mbona hayo ni kawaida tu.Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi amesema baada ya Kifo Cha Sokoine Maneno mengi yalisemwa ikiwemo " aliuawa kwa njama"
Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika Kifo Cha Sokoine Mwalimu Nyerere Alihusika au Alifaidika na Kifo hicho
Mwandishi huyo alisema Nyerere alihofia Sokoine akiwa Rais atapendelea mfumo wa Sekta Binafsi
Prof Kabudi anasema Mwalimu Nyerere alisikitika sana baada ya kusoma Makala hayo na kumwomba Mungu wa Mbinguni amsamehe Mwandishi yule
Source: Mwanahalisi Digital
Kukana mashtaka sio ishu kubwa mahakamani100% CCM walimuua Sokoine.
Dumisani Dube alikuwa anaenda wapi na yeye alikuwa anaisha Dar kama mkimbizi?
Tangu lini Waziri Mkuu agongwe na Gari na body guards na ulinzi ulivyo?
Kawawa kwa nini aliiwahi ndege ya Sokoine akaenda nayo Liwale? Nia yake ilikuwa akamilishe njama zake yeye na M—ya.
Kesi ilipoanza:
Siku ya kwanza Dumisani Dube alikataa kuwa yeye hakumuua yaani not guilty
Kesi ikaailishwa
Baada ya Kesi kuanza mara ya pili Dumisani Dube alikubali makosa yote na kuhukumiwa jela miaka mitano.
Badala ya kutumikia kifungo unamwona London anaishi maisha mazuri!!!!!
Jifikirishe, hiyo ndiyo CCM.
Muulizeni Cleopa Msuya kabla ya ..,fa, huyu ndiyo kabakia katika master planners
Asingeweza kuogoza kwa sasa, kipindi hicho 95% walikuwa ni wajingaNyerere alikuwa mjanja mjanja sana, kama wakina Samuel Sitta walimsumbua basi hiki kizazi cha sasa kingempa headache zaidi
Angeongoza ila kwa kuua watu wengi zaidi ya Samia anavyoua sisimiziAsingeweza kuogoza kwa sasa, kipindi hicho 95% walikuwa ni wajinga
Yeye ndiyo angeuwawa hakuna mchezo now kizazi cha akina Lissu ni hatari kuliko vya zamani na sasaAngeongoza ila kwa kuua watu wengi zaidi ya Samia anavyoua sisimizi
Huwa najiuliza uongozi wa Kanisa Katoliki linatumia akili zipi kutaka Nyerere apewe hadhi ya utakatifu. Nikiangalia umbumbumbu wa raia wengi naona kabisa umetokana na sera mbovu za ujamaa za mwl Nyerere?Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi amesema baada ya Kifo Cha Sokoine Maneno mengi yalisemwa ikiwemo " aliuawa kwa njama"
Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika Kifo Cha Sokoine Mwalimu Nyerere Alihusika au Alifaidika na Kifo hicho
Mwandishi huyo alisema Nyerere alihofia Sokoine akiwa Rais atapendelea mfumo wa Sekta Binafsi
Prof Kabudi anasema Mwalimu Nyerere alisikitika sana baada ya kusoma Makala hayo na kumwomba Mungu wa Mbinguni amsamehe Mwandishi yule
Source: Mwanahalisi Digital
Kijiweni kwetu wanasema.100% CCM walimuua Sokoine.
Dumisani Dube alikuwa anaenda wapi na yeye alikuwa anaisha Dar kama mkimbizi?
Tangu lini Waziri Mkuu agongwe na Gari na body guards na ulinzi ulivyo?
Kawawa kwa nini aliiwahi ndege ya Sokoine akaenda nayo Liwale? Nia yake ilikuwa akamilishe njama zake yeye na M—ya.
Kesi ilipoanza:
Siku ya kwanza Dumisani Dube alikataa kuwa yeye hakumuua yaani not guilty
Kesi ikaailishwa
Baada ya Kesi kuanza mara ya pili Dumisani Dube alikubali makosa yote na kuhukumiwa jela miaka mitano.
Badala ya kutumikia kifungo unamwona London anaishi maisha mazuri!!!!!
Jifikirishe, hiyo ndiyo CCM.
Muulizeni Cleopa Msuya kabla ya ..,fa, huyu ndiyo kabakia katika master planners
Viongozi wawili wakubwa na maarufu 🐼Kijiweni kwetu wanasema.
Ile operesheni ya uhujumu uchumi aliyokuwa akiisimamia Sokoine baada ya kumaliza kwa wananchi ilikua inakwenda kuanza kuwagusa viongozi,
Kuna viongozi wawili wakubwa na maarufu ambao nao walishika nafasi ya Sokoine stori zinasema ili kukwepa aibu wakafanya yao.
Ila ipo siku mambo yatakuwa hadharani.
Una kitu kikubwa unakijua wewe! Ila angalia wasikuteke!100% CCM walimuua Sokoine.
Dumisani Dube alikuwa anaenda wapi na yeye alikuwa anaisha Dar kama mkimbizi?
Tangu lini Waziri Mkuu agongwe na Gari na body guards na ulinzi ulivyo?
Kawawa kwa nini aliiwahi ndege ya Sokoine akaenda nayo Liwale? Nia yake ilikuwa akamilishe njama zake yeye na M—ya.
Kesi ilipoanza:
Siku ya kwanza Dumisani Dube alikataa kuwa yeye hakumuua yaani not guilty
Kesi ikaailishwa
Baada ya Kesi kuanza mara ya pili Dumisani Dube alikubali makosa yote na kuhukumiwa jela miaka mitano.
Badala ya kutumikia kifungo unamwona London anaishi maisha mazuri!!!!!
Jifikirishe, hiyo ndiyo CCM.
Muulizeni Cleopa Msuya kabla ya ..,fa, huyu ndiyo kabakia katika master planners
Kesi ilipoanza baada ya kuhairishwa mara tu akakubali makosa yote. Hiki kipindi ambacho kesi iliahirishwa kitu gani kilitokea?Kukana mashtaka sio ishu kubwa mahakamani
USSR
Duh!100% CCM walimuua Sokoine.
Dumisani Dube alikuwa anaenda wapi na yeye alikuwa anaisha Dar kama mkimbizi?
Tangu lini Waziri Mkuu agongwe na Gari na body guards na ulinzi ulivyo?
Kawawa kwa nini aliiwahi ndege ya Sokoine akaenda nayo Liwale? Nia yake ilikuwa akamilishe njama zake yeye na M—ya.
Kesi ilipoanza:
Siku ya kwanza Dumisani Dube alikataa kuwa yeye hakumuua yaani not guilty
Kesi ikaailishwa
Baada ya Kesi kuanza mara ya pili Dumisani Dube alikubali makosa yote na kuhukumiwa jela miaka mitano.
Badala ya kutumikia kifungo unamwona London anaishi maisha mazuri!!!!!
Jifikirishe, hiyo ndiyo CCM.
Muulizeni Cleopa Msuya kabla ya ..,fa, huyu ndiyo kabakia katika master planners
Sa hivi ninyi wajinga ndo wengi na hamjitambui + uchawaAsingeweza kuogoza kwa sasa, kipindi hicho 95% walikuwa ni wajinga
Anaogopa kusema Kawawa na MsuyaViongozi wawili wakubwa na maarufu 🐼