Prof Kabudi: Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika kuhusu kifo cha Sokoine kwamba Nyerere alihusika au alifaidika na kifo hicho

CCM sasa imekuwa genge la wakora kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake kwa ruksa ya mwenyekiti wao
 
Nadharia ni nyingi sana mnazokuja nazo.
Nikueleza moja tu kati ya yote uliyoyaandika.
Swali la ulinzi kwa viongozi lilikuja kuwa structured upya baada ya kifo cha Sokoine. Kabla ya hapo hakukuwepo na misafari na ving'ora kwa viongozi wengine zaidi ya rais.
 
Usimwamini Kabudi hata siku moja. Lile ni Leprofeseri. Linaendana na mdundo wa nyakaki husika. Kabudi hachelewi kumwita bosi wake Mheshimiwa Mungu na kesho yake akabadili gia angani. Li Profeseri lioga sana lile.
 
Kifo cha huyu Maasai na pamoja na kile cha Sheikh Abeid Amani Karume mhusika ni Mwl. Sema watu waliogopa kumuhusika ndo maana wakatafutwa wahusika wa kusingiziwa.
 
Ccm ni chama kizuri sana hakuna mfanowe ila kuna watu wamekiteka na kujifanya kukimiliki hao ndio wanaoharibu taswira yake.
 
Sio alisema bali alinukuu. Hebu heshimu taaluma Yako ya kuandika mambo kwenye hili jukwaa.
 
Nyerere alikuwa mjanja mjanja sana, kama wakina Samuel Sitta walimsumbua basi hiki kizazi cha sasa kingempa headache zaidi
Kwani hiki kizazi cha sasa (cha hovyo kabisa) kina jipya la kutishia nyau?

1.Hujui kwamba pale UDSM zamani kulikuwa na Vijana wanaojua kuhoji kuliko leo? Vipanga wa leo pale UDSM na Vyuo Vikuu wote si ni watu wa kukariri madesa tu ili wafaulu kwa GPA kubwa ila uwezo wa kujenga hoja ni 0. Prof.Issa Shivji anajua kuhusu hili.

2.Vijana walioko kwenye Jeshi lenu leo wanaweza kufanya yale majaribio waliyofanya wenzao miaka ya 1964 na 1982? Yaani hao akina Clinton Damas 'Nyundo' wanao huo uthubutu? Kama siyo kwamba wanachojua ni kubaka,kulawiti na kupoteza tu.

Yule Zachariah Hans Pope na wenzake walikuwa watu na nusu wale. Hata alipoamua kujikita kwenye soka pale Simba SC shughuli yale ilionekana, na hadi sasa Simba wanahangaika kuziba pengo.
 
Ten nliskia Kuna mmoja kati ya hao watu 2 waliwah kushka iyo nafas kabla ya sokoine mmoja wao aliuza meli ya tz million 60 ,hivyo sokoine alamwambia nikja dar utanieleza uliuzaje meli ya umma na pesa ulipeleka wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ