Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Ulipaswa kujiulizwq swali hili muhimu sana. Je, alipatakina kwa uhalali?👇
Faki zati sonofabitch! The opposite of halal is haram, which means unlawful or forbidden under Islamic law.Ulipaswa kujiulizwq swali hili muhimu sana. Je, alipatakina kwa uhalali?👇
Inasikitisha kwa kweliYeye alisema alitokea jalalani,unategemea nini?
Kwa maelezo yake mwenyewe,Kabudi anakili kuwa Rais na wabunge haramu,isipokuwa ameshauri neno haramu lisitumike.Bali litumike "siyo halali"Ulipaswa kujiulizwq swali hili muhimu sana. Je, alipatakina kwa uhalali?👇
Mkuu muuza kangara, japo uchaguzi Mkuu wetu haukuwa huru na wa haki, lakini kwa mujibu wa Katiba yetu, Tume ya uchaguzi INEC ikiisha mtangaza mshindi wa urais, tangazo hilo ni final and conclusive kuhitimisha uchaguzi kwa kanuni the end justifies the means, kila kilichofanyika kwenye uchaguzi huo, kina halalishwa, kwa rais kuapishwa na anakuwa ni rais halali kisheria hata kama hakupatikana kwa haki.Ulipaswa kujiulizwq swali hili muhimu sana. Je, alipatakina kwa uhalali?👇
Yaani matokeo haramu yasiyo halali yakubalike kupitia matangazo ya InecMkuu muuza kangara, japo uchaguzi Mkuu wetu haukuwa huru na wa haki, lakini kwa mujibu wa Katiba yetu, Tume ya uchaguzi INEC ikiisha mtangaza mshindi wa urais, tangazo hilo ni final and conclusive kuhitimisha uchaguzi kwa kanuni the end justifies the means, kila kilichofanyika kwenye uchaguzi huo, kina halalishwa, kwa rais kuapishwa na anakuwa ni rais halali kisheria hata kama hakupatikana kwa haki.
Haki na sheria ni vitu viwili tofauti, kuna uhalali wa kisheria na uhalali wa ki haki. Rais Samia ni Rais halali kisheria japo sio lazima awe halali kihaki kutokana na yale mapekechee aliyoyasemaga Nape na aliadhibiwa baada ya kuitatoa siri ya mbinu za ushindi za CCM.
Hili somo la uhalali wa kisheria na uhalali wa kihaki nimelifundisha sana humu. hata kwa JJ.Mnyika PostGE2025 - Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!
P
Hivyo ndivyo inavyosema katiba yetu. Haijalishi uchaguzi umeendeshwaje, sio uchaguzi huru na haki, ni uchaguzi wa bao la mkono, mshindi wa urais akiisha tangazwa, that is the end of everything, kila kilichofanyika kinahalalishwa and no one can do anything!.Yaani matokeo haramu yasiyo halali yakubalike kupitia matangazo ya Inec
Na Mwl wako wa Sheria mmojawapo alikuwa Prof Adian.Mkuu muuza kangara, japo uchaguzi Mkuu wetu haukuwa huru na wa haki, lakini kwa mujibu wa Katiba yetu, Tume ya uchaguzi INEC ikiisha mtangaza mshindi wa urais, tangazo hilo ni final and conclusive kuhitimisha uchaguzi kwa kanuni the end justifies the means, kila kilichofanyika kwenye uchaguzi huo, kina halalishwa, kwa rais kuapishwa na anakuwa ni rais halali kisheria hata kama hakupatikana kwa haki.
Haki na sheria ni vitu viwili tofauti, kuna uhalali wa kisheria na uhalali wa ki haki. Rais Samia ni Rais halali kisheria japo sio lazima awe halali kihaki kutokana na yale mapekechee aliyoyasemaga Nape na aliadhibiwa baada ya kuitatoa siri ya mbinu za ushindi za CCM.
Hili somo la uhalali wa kisheria na uhalali wa kihaki nimelifundisha sana humu.
Hili somo la rais halali na rais haramu, nililitoa hata kwa JJ.Mnyika PostGE2025 - Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!
P
Sasa hapa unataka kusema tuna kitu batili. Hivyo ni haramu ab initioHivyo ndivyo inavyosema katiba yetu. Haijalishi uchaguzi umeendeshwaje, sio uchaguzi huru na haki, ni uchaguzi wa bao la mkono, mshindi wa urais akiisha tangazwa, that is the end of everything, kila kilichofanyika kinahalalishwa and no one can do anything!.
Katiba yetu ni katiba ya kifalme, rais wetu ni rais Mfalme.
P
Sasa kama tunaipinga, tunaiona katiba hiyo nayo kama haramu (isiyokubilka) kwa nini isiwe halali kwetu kumwona RAIS aliyetokana na katiba hiyo kuwa ni haramu.Hivyo ndivyo inavyosema katiba yetu. Haijalishi uchaguzi umeendeshwaje, sio uchaguzi huru na haki, ni uchaguzi wa bao la mkono, mshindi wa urais akiisha tangazwa, that is the end of everything, kila kilichofanyika kinahalalishwa and no one can do anything!.
Katiba yetu ni katiba ya kifalme, rais wetu ni rais Mfalme.
P
Katiba yetu sio haramu, ni Katiba ya kifalme, imperial constitution inayomfanya rais wa JMT kuwa ni imperial president, rais Mfalme.Sasa kama tunaipinga, tunaiona katiba hiyo nayo kama haramu (isiyokubilka) kwa nini isiwe halali kwetu kumwona RAIS aliyetokana na katiba hiyo kuwa ni haramu.
Katiba ya sasa sio halali. Ilitungwa na wanaCCM 20 wakiongozwa na Thabit Kombo. Inakosa uhalali sababu haikutungwa na wananchi. Usitetee kisa tu unalinda tumbo lako.Katiba yetu sio haramu, ni Katiba ya kifalme, imperial constitution inayomfanya rais wa JMT kuwa ni imperial president, rais Mfalme.
Tulipopata uhuru, tuliletewa Katiba na Muingereza ambapo mkuu wa nchi head of state na amiri jeshi mkuu ni Mfalme wa Uingereza, Waziri Mkuu alikuwa head of government. Mwaka 1962 tukawa Jamhuri, tukamuondoa Mfalme wa Uingereza na madaraka yake yote tukamrundikia president of URT, hivyo tukawa na rais Mfalme ,an imperial president ambaye ni head of state, head of government na CinC , hivyo rais wa JMT kuwa ndio kila kitu
P
Nyie nyumbu km mlikimbia uchaguzi ndiyo usiwe halali? Samia ni Rais halali kabisa tulimpigia kura tarehe 29 Oktoba 2025. Dunia inamtambua ndiyo maana imefurika Tanzania. Nyie wapumbavu wa chadema hakuna jipya tushawazoea, Kabudi angewapuuza tu!Ulipaswa kujiulizwq swali hili muhimu sana. Je, alipatakina kwa uhalali?👇
****** wa mama yako.Nyie nyumbu km mlikimbia uchaguzi ndiyo usiwe halali? Samia ni Rais halali kabisa tulimpigia kura tarehe 29 Oktoba 2025. Dunia inamtambua ndiyo maana imefurika Tanzania. Nyie wapumbavu wa chadema hakuna jipya tushawazoea, Kabudi angewapuuza tu!
Katiba yetu sio haramu, ni Katiba ya kifalme, imperial constitution inayomfanya rais wa JMT kuwa ni imperial president, rais Mfalme.
Tulipopata uhuru, tuliletewa Katiba na Muingereza ambapo mkuu wa nchi head of state na amiri jeshi mkuu ni Mfalme wa Uingereza, Waziri Mkuu alikuwa head of government. Mwaka 1962 tukawa Jamhuri, tukamuondoa Mfalme wa Uingereza na madaraka yake yote tukamrundikia president of URT, hivyo tukawa na rais Mfalme ,an imperial president ambaye ni head of state, head of government na CinC , hivyo rais wa JMT kuwa ndio kila kitu
P