imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Muonekano upi?Wazalendo tunajuana kwa muonekano wa sura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muonekano upi?Wazalendo tunajuana kwa muonekano wa sura
Kigeugeu hatufai hata bureKwa kuwa mchakato wa katiba mpya utaendelezwa panapo Majaliwa yake Mwenyezi Mungu mwaka ujao wa fedha 2023/2024 na tume maalumu itaundwa kufanikisha mchakato huo naona Prof.Kabudi atafaa sana kuwa Mwenyekiti wa bunge maalumu la Katiba.
Ni mwanasheria mzuri na mwenye uwezo mkubwa wa masuala ya katiba, anaifahamu vyema historia ya ukombozi wa nchi kabla na baada ya Uhuru, ni mzalendo wa kweli mwenye kuipenda Tanzania kwa dhati.
Ameshiriki kwa kiwango kikubwa kuandaa Rasimu ya Katiba ya Mzee Warioba hivyo kama mchakato wa katiba mpya utaendelezwa pale kwenye Rasmi ya Mzee Warioba basi Prof.Kabudi ndiye mtu sahihi wa kuendeleza mchakato huo na hata kama mchakato utaanza upya kabisa Prof.Kabudi ni mtu sahihi kwa uwezo na ujuzi wake katika masuala ya sheria na Katiba kutupatia katiba iliyo bora.
Ninaamini Prof.Kabudi ni mtu sahihi kabisa wa kutupatia katiba bora.
Hoja namba tatu kama sio ushabiki basi omba toba na msamaha leo hii kwa Mungu. Kwa sababu ni Mungu mwenye kukirimu, kubariki na kutoaKigeugeu hatufai hata bure
- Zile noah kwa kila mtanzania anasema siyo zetu
- Ile dawa ya madagascar alisema ni fake wakati wenyewe aliinywa na kuisifia
- Anasema ubunge alipewa na Mungu siyo wapigakura wake
Akaombe radhi jimboniHoja namba tatu kama sio ushabiki basi omba toba na msamaha leo hii kwa Mungu. Kwa sababu ni Mungu mwenye kukirimu, kubariki na kutoa
Wewe ndio wakuomba radhi, Mungu hajaribiwi.Akaombe radhi jimboni
Maneno yake hayo asiyakaneWewe ndio wakuomba radhi, Mungu hajaribiwi.