Prof. Kabudi ndio awe Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Apewe nafasi ya kukamilisha alichoanzisha

Kigeugeu hatufai hata bure
  1. Zile noah kwa kila mtanzania anasema siyo zetu
  2. Ile dawa ya madagascar alisema ni fake wakati wenyewe aliinywa na kuisifia
  3. Anasema ubunge alipewa na Mungu siyo wapigakura wake
 
Yani huyu Prof wa ovyo ndio asimamie katiba ya nchi...upuuzi yeye aendelee kubaki jalalani aliporudishwa
 
Kigeugeu hatufai hata bure
  1. Zile noah kwa kila mtanzania anasema siyo zetu
  2. Ile dawa ya madagascar alisema ni fake wakati wenyewe aliinywa na kuisifia
  3. Anasema ubunge alipewa na Mungu siyo wapigakura wake
Hoja namba tatu kama sio ushabiki basi omba toba na msamaha leo hii kwa Mungu. Kwa sababu ni Mungu mwenye kukirimu, kubariki na kutoa
 
Huyu amgeweza ila kwakuwa katiba mpya inagusa na maslahi ya watu lazima watampiga zengwe...
 
Kabudi hafai, ameyumba msimamo.

Mzee WARIOBA ndio chaguo sahihi.

Tumtumie vizuri Ili akamilishe mission yake na furaha yake iwe ya milele katika kurasa za kumbukumbu Kwa Taifa letu.

Bring back our WARIOBA 💪💪💪💪
 
Yaani umekuja kungwa Mkono hoja yako hapa JF , [emoji23][emoji23][emoji23].

Bora mngefanya veting huko huko na Kumuweka kuliko kutafuta maoni hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…