Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Unajua kuna watu wakiongea utumbo ili wabaki madarakani unawaelewa. Wapo wanaume wazima waliofikia hatua hata ya kukata viuno ili kuhifadhi uteuzi wao. Lakini huyu Professor hafanani kabisa na maneno anayoongea kuwapaka mafuta watu wanaomteua. Wapo ma-professor wanaojitambua hapa nchini watakuwa wanamdharau sana kwa hii tabia. Halafu alitoka na First Class ya Sheria sasa.Mtaongea lolote ilimradi mbaki madarakani tu lakini haiwasaidii kitu
Hii nchi yetu vituko vingi sana.Hivi duniani kote Huwa wanafanya huu upuuzi wa kusherehekea kukaa madarakani Kwa miaka kadhaa au ni hapa Bongo land,, nchi zilizokosa vipaumbele ni tabu tupu
Huyu alikuwa na heshima alipokuwa huko chuoni baada ya kuteuliwa akaanza kukengeukaUnajua kuna watu wakiongea utumbo ili wanaki madarakani unawaelewa.Wapo wanaume wazima waliofikia hatua hata ya kukata viuno ili kuhifadhi uteuzi wao.Lakini huyu Professor hafanani kabisa na maneno anayoongea kuwapaka mafuta watu wanaomteua. Wapo ma-professor wanaojitambua hapa nchini watakuwa wanamdharau sana kwa hii tabia. Halafu alitoka na First Class ya Sheria sasa.
Hapo linawaza kurudi bungeni 2025, bila kusifia hakuna kupitishwaLimeanza tena hili zee
Yaani ni kusifu na kuabudu tu Kila siku Ni Samia, Samia, Samia, wakati nchi Ina matatizo mengi yanayoitaji kushughulikiwaHii nchi yetu vituko vingi sana.
Huyu Maza ni tatizo