Unatamani kusikia imewekewa vikwazo vya uchumi ufurahi uongee mpaka mate yakauke eeh.So what shida za wananchi zimeisha au ndiyo zimeongezeka?
Kijana wa jana Sina mengi mkuu. Ila ninachoweza kukwambia ni FANYA KAZI.Ni kejeli kwa sababu Tanzania ya miaka 7 nyuma ilikuwa heri kuliko ya sasa
Una kazi hapo unipe?@Kijana wa jana Sina mengi mkuu. Ila ninachoweza kukwambia ni FANYA KAZI.
Mnasifia sana utawala uliopita kwasababu maisha yalikuwa rahisi. Unakaa tu maskani ukipiga simu 1 elfu 10 inaingia.
Your living standard inatengenezwa na juhudi zako mwenyewe siyo serikali.
Wametumwa na wasionufaikaKuna watu wanamchukia Magufuli mpaka wanafikia kuiombea mabaya nchi yao kwa kuona kufanya hivyo ni kumkomoa Magufuli.
Unafikiri walimzunguka wote hawamjui Kifaransa.Sijui Kama jiwe anajua lugha yeyote ya kugeni
Hio barua ni ya kifaransa labda kamuandikia kumuonya yeye anafikiri ni pongezi
Uchumi wa katikati ya mapaja[emoji1][emoji1]
Hiyo ni kejeli sema mataga pamoja na jiwe wanashangilia kukejeliwa na wanaowaita mabeberu
Nyie mpo kimasilahi yenu hamna uzalendo wala niniWatakuja kubisha na hili.
Hongera Tanzania, Hongera rais John Pombe Joseph Magufuli [emoji123]
Hongera Uzalendo Wa Kitanzania [emoji7][emoji1241][emoji106]
Maendeleo hayana vyama [emoji16][emoji16]
Nyie mpo kimasilahi yenu hamna uzalendo wala nini
Kupanda na kushuka kwa bidhaa ni msukumo w mahitaji ya soko.Mbona husemi kuhusu EWURA kushusha bei ya mafuta kwa taarifa za jana. Uchaguzi umekwisha, Uchaguzi Umekwisha, Uchaguzi umekwishaaaaa!!!!mnapongezwa kwa kuwa imefika hatua mafuta ya kula lita 20 yanauzwa Tsh.75,000
Endeleeni kujifariji lakini mjue tayari maji ya shingo mnayo mnatapatapa na kulazimisha mambo imekula kwenu nyie tulieni sindano tano za moto zi teleze humoSisi ni viazi gani mkuu? Vitamu au mbatata?
Maana sijawahi ona viazi vikijishana na vitunguu.... ni viazi kwa viazi tuu vinaweza kuwasliana
Pole ila ndio hivyo, macron ndio kashamwaga pongezi
Kazi ninayofanya mimi inahitaji utaalam, uzoefu na ufanisi.Una kazi hapo unipe?