Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

Ni kejeli kwa sababu Tanzania ya miaka 7 nyuma ilikuwa heri kuliko ya sasa
Kijana wa jana Sina mengi mkuu. Ila ninachoweza kukwambia ni FANYA KAZI.

Mnasifia sana utawala uliopita kwasababu maisha yalikuwa rahisi. Unakaa tu maskani ukipiga simu 1 elfu 10 inaingia.

Your living standard inatengenezwa na juhudi zako mwenyewe siyo serikali.
 
Tanzania imeingia uchumi wa chini wa kati.na si uchumi wa kati.

N.b usisahau kuwa tanzania ni nchi ya nane 8 kwa umasikini duniani kutoka chini.

Unapotosha na kupotoshwa.
 
@Kijana wa jana Sina mengi mkuu. Ila ninachoweza kukwambia ni FANYA KAZI.

Mnasifia sana utawala uliopita kwasababu maisha yalikuwa rahisi. Unakaa tu maskani ukipiga simu 1 elfu 10 inaingia.

Your living standard inatengenezwa na juhudi zako mwenyewe siyo serikali.
Una kazi hapo unipe?
 
Mabeberu wanatuonea wivu sababu tupo uchumi wa Kati Hadi wanachuo wanakaa 5 star hotel hakuna popote duniani
 
Awachane na mabarua barua, tunataka mayuro tu
 
Saccos ya CHADEMA wanasemaje hawajatoa tamko bado? [emoji16] [emoji23]
 
Hongera Ufaransa kwa kutambua juhudi za Rais wetu.Sasa tufanye biashara kuimarisha uchumi wetu
 
Sisi ni viazi gani mkuu? Vitamu au mbatata?
Maana sijawahi ona viazi vikijishana na vitunguu.... ni viazi kwa viazi tuu vinaweza kuwasliana

Pole ila ndio hivyo, macron ndio kashamwaga pongezi
Endeleeni kujifariji lakini mjue tayari maji ya shingo mnayo mnatapatapa na kulazimisha mambo imekula kwenu nyie tulieni sindano tano za moto zi teleze humo
 
Back
Top Bottom