mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Wewe huyu sio Beberu ni nchi rafiki. Akilogwa azungumzie haki za binadamu jina linabadilika.Ah kumbe barua za Beberuz zinasomwa zikiwa za Sifa za kukosoa je?
Wewe usiekaa na dada zako mbona kila siku unalia maisha magumu hapa JF? Tafuteni kazi za kufanya vijana,maisha sio simple kama mnavyodhani.Shida una kaa kwa dada ako hujui nini kinaendelea
Lengo la Ufaransa ni kujiondoa kuisaidia TanzaniaSo what shida za wananchi zimeisha au ndiyo zimeongezeka?
Mkuu, hivi Lissu ameshalihutubia bunge ulaya Ili Dunia yote isimame kumsikiliza kama mlivyodai kwenye ile taarifa yenu ya uhakika(yenye link) 😂Huwezi kukuta link ya source ya habari kwenye nyuzi za propaganda uchwara
Jibu hoja! Ni sahihi kujiwekea habari zenye mashiko JF bila ya kuweka source ya habari hiyo?Mkuu, hivi Lissu ameshalihutubia bunge ulaya Ili Dunia yote isimame kumsikiliza kama mlivyodai kwenye ile taarifa yenu ya uhakika(yenye link) [emoji23]
Total inakuja kujenga bomba la mafuta ambalo ni mali yetu kwahiyo kwakua sisi ni matajiri lazma wajikombe kwetu.Watakuja kubisha na hili.
Hongera Tanzania, Hongera rais John Pombe Joseph Magufuli 💪
Hongera Uzalendo Wa Kitanzania 😍🇹🇿👍
Maendeleo hayana vyama 😁😁
Kina Lissu wamejaa afrika siku zote huwa wanatumiwa kwa ajili ya maslahi fulani ya watu fulani na hao watu wakishatosheka wanawatupilia mbali.Tunawajulisha kwamba zile dual zenu za kutaka Tanzania itengwe zinazidi kupotea kwa kasi ya kutisha.EU wamesema hawana mpango wa kuweka vikwazo Tanzania 🇹🇿 ♥ 👌 Wafuasi wa Lissu poleni kwa kuingizwa chaka. Lissu hajui serikali duniani zinavyoshirikiana.
Kwa kuwa tumewapa ajira na sisi watupatie ajira toka kwenye hiyo ajiraTotal inakuja kujenga bomba la mafuta ambalo ni mali yetu kwahiyo kwakua sisi ni matajiri lazma wajikombe kwetu.
Ile habari yenu yenye mashiko,ilikuwa ni ya ukweli licha kuwa na link?Au habari yenye mashiko kwenu nyinyi ni ipi? Ile ya kuiponda serikali sio🤔.Jibu hoja! Ni sahihi kujiwekea habari zenye mashiko JF bila ya kuweka source ya habari hiyo?
Wabishie BARUA?Watakuja kubisha na hili.
Hongera Tanzania, Hongera Rais John Pombe Joseph Magufuli [emoji123]
Hongera Uzalendo Wa Kitanzania [emoji7][emoji1241][emoji106]
Maendeleo hayana vyama [emoji16][emoji16]
Unauliza ya kuwa Ile habari yetu ilikuwa na mashiko?Unaelewa kuwa two wrongs can't make a right?Unaelewa kuwa kwa mfano mimi kufanya kosa haihalalishi wala kukupa tiketi wewe ya kufanya kosa kama hilo?Unaweza kuua kisha ujitetee mahakamani kuwa umeua kwa sababu John ameua?Ile habari yenu yenye mashiko,ilikuwa ni ya ukweli licha kuwa na link?Au habari yenye mashiko kwenu nyinyi ni ipi? Ile ya kuiponda serikali sio[emoji848].
[emoji117]Lissu alihutubia bunge la ulaya, na Dunia yote ikasimama kumsikiliza kama mlivyodai kwenye ile habari yenu?
Barua iko wapi? wekeni hapa tusome hapo aliposifia.Wabishie BARUA?
Amandla...