Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

Huwezi kukuta link ya source ya habari kwenye nyuzi za propaganda uchwara
 
Shida una kaa kwa dada ako hujui nini kinaendelea
Wewe usiekaa na dada zako mbona kila siku unalia maisha magumu hapa JF? Tafuteni kazi za kufanya vijana,maisha sio simple kama mnavyodhani.
 
Huwezi kukuta link ya source ya habari kwenye nyuzi za propaganda uchwara
Mkuu, hivi Lissu ameshalihutubia bunge ulaya Ili Dunia yote isimame kumsikiliza kama mlivyodai kwenye ile taarifa yenu ya uhakika(yenye link) 😂
 
Mkuu, hivi Lissu ameshalihutubia bunge ulaya Ili Dunia yote isimame kumsikiliza kama mlivyodai kwenye ile taarifa yenu ya uhakika(yenye link) [emoji23]
Jibu hoja! Ni sahihi kujiwekea habari zenye mashiko JF bila ya kuweka source ya habari hiyo?
 
Tunawajulisha kwamba zile dual zenu za kutaka Tanzania itengwe zinazidi kupotea kwa kasi ya kutisha.EU wamesema hawana mpango wa kuweka vikwazo Tanzania 🇹🇿 ♥ 👌 Wafuasi wa Lissu poleni kwa kuingizwa chaka. Lissu hajui serikali duniani zinavyoshirikiana.
Kina Lissu wamejaa afrika siku zote huwa wanatumiwa kwa ajili ya maslahi fulani ya watu fulani na hao watu wakishatosheka wanawatupilia mbali.
 
Huyu John Baptist ndo alihubiri kuhusu yeye ajaye Emanuel, yes ndo maaana
 
Total inakuja kujenga bomba la mafuta ambalo ni mali yetu kwahiyo kwakua sisi ni matajiri lazma wajikombe kwetu.
Kwa kuwa tumewapa ajira na sisi watupatie ajira toka kwenye hiyo ajira
 
Jibu hoja! Ni sahihi kujiwekea habari zenye mashiko JF bila ya kuweka source ya habari hiyo?
Ile habari yenu yenye mashiko,ilikuwa ni ya ukweli licha kuwa na link?Au habari yenye mashiko kwenu nyinyi ni ipi? Ile ya kuiponda serikali sio🤔.

👉Lissu alihutubia bunge la ulaya, na Dunia yote ikasimama kumsikiliza kama mlivyodai kwenye ile habari yenu?
 
Ile habari yenu yenye mashiko,ilikuwa ni ya ukweli licha kuwa na link?Au habari yenye mashiko kwenu nyinyi ni ipi? Ile ya kuiponda serikali sio[emoji848].

[emoji117]Lissu alihutubia bunge la ulaya, na Dunia yote ikasimama kumsikiliza kama mlivyodai kwenye ile habari yenu?
Unauliza ya kuwa Ile habari yetu ilikuwa na mashiko?Unaelewa kuwa two wrongs can't make a right?Unaelewa kuwa kwa mfano mimi kufanya kosa haihalalishi wala kukupa tiketi wewe ya kufanya kosa kama hilo?Unaweza kuua kisha ujitetee mahakamani kuwa umeua kwa sababu John ameua?
 
Ogopa watu wenye akili nakupongeza unachakula mingi nyumbani ili usije omba .
 
Wazungu wanajua kumkoga 'ntu'!
... ngojeeni baada ya mwezi mmoja wa vikwazo!
NB: Kwa kiingereza cha Ng'wanza Tanzania 'IMETULIJWA' NA DUNIA! ... yaani 'tatolejiwagwa bhagooshaaa!'
1606994274103.png
 
Back
Top Bottom