Basi kama jinsi ambavyo ulichachamaa kucomment kwenye ule uzi bila kuhoji swala la link, ndivyo jinsi ambavyo ilitakiwa kucomment hapa, ama kupotezea Ili utafute nyuzi zinazokufariji kuelekea 2025.Unauliza ya kuwa Ile habari yetu ilikuwa na mashiko?Unaelewa kuwa two wrongs can't make a right?Unaelewa kuwa kwa mfano mimi kufanya kosa haihalalishi wala kukupa tiketi wewe ya kufanya kosa kama hilo?Unaweza kuua kisha ujitetee mahakamani kuwa umeua kwa sababu John ameua?
Subirini hivyo vikwazo😂😂Wazungu wanajua kumkoga 'ntu'!
... ngojeeni baada ya mwezi mmoja wa vikwazo!
NB: Kwa kiingereza cha Ng'wanza Tanzania 'IMETULIJWA' NA DUNIA! ... yaani 'tatolejiwagwa bhagooshaaa!'
View attachment 1640721
Walisema wataiwekea vikwazo Tanzania,wala hawajaipongeza kama mleta mada alivyoandika.Barua iko wapi? wekeni hapa tusome hapo aliposifia.
Utajua mwenyeweSo what shida za Wananchi zimeisha au ndiyo zimeongezeka?
Basi kama jinsi ambavyo ulichachamaa kucomment kwenye ule uzi bila kuhoji swala la link, ndivyo jinsi ambavyo ilitakiwa kucomment hapa, ama kupotezea Ili utafute nyuzi zinazokufariji kuelekea 2025.
Shangilia maumivuUtajua mwenyewe
Hii si nchi tajiri?Lengo la Ufaransa ni kujiondoa kuisaidia Tanzania
Wewe una kazi ngani?Wewe usiekaa na dada zako mbona kila siku unalia maisha magumu hapa JF? Tafuteni kazi za kufanya vijana,maisha sio simple kama mnavyodhani.
Faida ya uchumi wa kati nini sasa?Unategemea shida za wananchi kuisha? anyway sijui upstairs ukoje ngoja niache ku comment.
Wekeni barua hapa, msijemkaingia mikataba ya kina 'mangungo' mkafikiri mnasifiwa.Walisema wataiwekea vikwazo Tanzania,wala hawajaipongeza kama mleta mada alivyoandika.
👉Furahia Sasa
Watakuja kubisha na hili.
Hongera Tanzania, Hongera Rais John Pombe Joseph Magufuli [emoji123]
Hongera Uzalendo Wa Kitanzania [emoji7][emoji1241][emoji106]
Maendeleo hayana vyama [emoji16][emoji16]
Mnawaita MABEBERU, leo hamtaki watutenge.... kweli wakijani hamjielewiTunawajulisha kwamba zile dua zenu za kutaka Tanzania itengwe zinazidi kupotea kwa kasi ya kutisha.EU wamesema hawana mpango wa kuweka vikwazo Tanzania [emoji1241] [emoji813] [emoji108] Wafuasi wa Lissu poleni kwa kuingizwa chaka. Lissu hajui serikali duniani zinavyoshirikiana.
Faida ya uchumi wa kati nini sasa?