Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

Unauliza ya kuwa Ile habari yetu ilikuwa na mashiko?Unaelewa kuwa two wrongs can't make a right?Unaelewa kuwa kwa mfano mimi kufanya kosa haihalalishi wala kukupa tiketi wewe ya kufanya kosa kama hilo?Unaweza kuua kisha ujitetee mahakamani kuwa umeua kwa sababu John ameua?
Basi kama jinsi ambavyo ulichachamaa kucomment kwenye ule uzi bila kuhoji swala la link, ndivyo jinsi ambavyo ilitakiwa kucomment hapa, ama kupotezea Ili utafute nyuzi zinazokufariji kuelekea 2025.
 
Never trust the French, kutakuwa na kitu tu hapa wanakitaka kwetu. Hawa jamaa wanachafua sana siasa za Afrika Magharibi, wanapandikiza marais wawatakao na kuua wale wasiowataka na dunia haisemi kitu. Soon mtamuona Tundu Lissu Ufaransa kwenye kongamano la democrasia.
 
Basi kama jinsi ambavyo ulichachamaa kucomment kwenye ule uzi bila kuhoji swala la link, ndivyo jinsi ambavyo ilitakiwa kucomment hapa, ama kupotezea Ili utafute nyuzi zinazokufariji kuelekea 2025.

Once again,two wrongs can't make a right!Mimi kutokudai link katika uzi ule lilikuwa ni kosa.Unaelewa kuwa kwa sababu wakati ule nilitenda kosa, siyo sahihi na wala siyo tiketi ya kurudia tena kutenda kosa kama hilo?Yaani unaelewa kwa mfano siyo sahihi wala siyo tiketi kumuua mke wa pili kwa sababu amechepuka kisa ulimuua mke wa kwanza alipochepuka?Unaweza kujitetea mahakamani kuwa umeua mke wa pili kwa kuchepuka kwa sababu uliua mke wa kwanza alipochepuka?
 
Sio bure ufaransa washaiona fursa, utaachaje kumsifu bamkwe wakati unataka uoe kwake.
 
Walisema wataiwekea vikwazo Tanzania,wala hawajaipongeza kama mleta mada alivyoandika.
👉Furahia Sasa
Wekeni barua hapa, msijemkaingia mikataba ya kina 'mangungo' mkafikiri mnasifiwa.
Mabeberu hawawezi kusifisifia 'hovyo' bila wao kuwa na interest na hotcake za Tanzania.

Jidanganyeni na kutiana ujinga.
 
Wapuuzi wanajisifu kusifiwa na ufaransa huku wakijionesha kwa mamburula wa Tanzania ili wapate sifa.

Hata Sadam Hussein alikuwa rafiki sana wa Ufaransa na muuzaji wake mkubwa wa mafuta ila Ufaransa haikuweza kuwazuia Marekani na Uingereza kumuondoa kutokana na upuuzi wake.
 
Nilitegemea pongezi zingelikuwa kwa ushindi wa kishindo. Hiyo ndiyo ingekuwa habari
 
Watakuja kubisha na hili.
Hongera Tanzania, Hongera Rais John Pombe Joseph Magufuli [emoji123]
Hongera Uzalendo Wa Kitanzania [emoji7][emoji1241][emoji106]

Maendeleo hayana vyama [emoji16][emoji16]

Uchumi wa kati huo, Anafurahia bahasha mkononi

 
Mabeberu wana weza kukusiafia baadaye waka kunyonga
 
Tunawajulisha kwamba zile dua zenu za kutaka Tanzania itengwe zinazidi kupotea kwa kasi ya kutisha.EU wamesema hawana mpango wa kuweka vikwazo Tanzania [emoji1241] [emoji813] [emoji108] Wafuasi wa Lissu poleni kwa kuingizwa chaka. Lissu hajui serikali duniani zinavyoshirikiana.
Mnawaita MABEBERU, leo hamtaki watutenge.... kweli wakijani hamjielewi
 
Faida ya uchumi wa kati nini sasa?


Faida ya uchumi wa kati labda Ni hii hapa


1607001530100.png
 
Non-sense. Huyo Kabudi ndio mstari wa mbele kuwaita MABEBERU, leo eti barua, SO what?. Huo uchumi wa kati ni vzr serikali ya jiwe ikasaidia kuelimiasha wanaichi tulipo kuwa uchumi wa chini eg umeme unit moja ilikuwa Tsh 300 na sasa tuko wa kati unit moja TSh 150, lakini huo uchumi wa kati wa kwenye makaratasi, HELL!
 
Back
Top Bottom