Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

Wekeni barua hapa, msijemkaingia mikataba ya kina 'mangungo' mkafikiri mnasifiwa.
Mabeberu hawawezi kusifisifia 'hovyo' bila wao kuwa na interest na hotcake za Tanzania.

Jidanganyeni na kutiana ujinga.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuelekea 2025, inabidi muwe na mioyo ya chuma..!
 
Wakiandika barua wanakuwa sio mabeberu ila wakioji tu hapo kila mtu lazima jicho limtoke na kuwalaani kuwa ni mabeberu.
 
Tanzania inazidi kun'gara anga za kimataifa kwa misimamo thabiti ya kuleta mapinduzi ya kiuchumi.ng'ara tanzania ng'ara hapa kazi tu
 
Wekeni barua hapa, msijemkaingia mikataba ya kina 'mangungo' mkafikiri mnasifiwa.
Mabeberu hawawezi kusifisifia 'hovyo' bila wao kuwa na interest na hotcake za Tanzania.

Jidanganyeni na kutiana ujinga.
Pelekea ujinga kuku na bata ya bandan kule.nani anaweza kukupea wewe contaract uionee.hapa nu kazi tu potelea pote.sera ya sasa ni win win situation.
 
Sio bure ufaransa washaiona fursa, utaachaje kumsifu bamkwe wakati unataka uoe kwake.
Hata kama.hapa ni bampa to bampa.win win situation.sera ni kama muamerika.no paermant frend or permenent enemy.
hapa kazi tu
 
So trickly trap he must praise you first to reduce somethings or even cancell it at all, in .......... logic you can be happy happy happy
 
Mzungu akitusifia hata kwa uongo anakuwa mwema,akitukosoa anakuwa beberu wa vita ya kiuchumi.Nasema uongo ndugu zangu?
 
Kumbe bado mnataka misaada ya beberuz?
 
Tulia dawa iingie
Wewe ndio inakuingia kima wewe? Kila siku ooh, mtanyimwa misaada. Ooh, Tanzania imetengwa kimataifa. Sasa mnaona wanakuja kupongeza, eti bei simenti shinlingi ngapi? Pumbavu wewe, mtu mwenyewe unakaa kwa mamaako mpaka leo unahoji bei ya simenti? Nyumbu wewe?
 
Sijui kama jiwe anajua lugha yeyote ya kigeni.

Hiyo barua ni ya kifaransa labda kamuandikia kumuonya yeye anafikiri ni pongezi.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Sijui kama jiwe anajua lugha yeyote ya kigeni.

Hiyo barua ni ya kifaransa labda kamuandikia kumuonya yeye anafikiri ni pongezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni shidaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…