Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
😂😂😂 Kuelekea 2025, inabidi muwe na mioyo ya chuma..!Wekeni barua hapa, msijemkaingia mikataba ya kina 'mangungo' mkafikiri mnasifiwa.
Mabeberu hawawezi kusifisifia 'hovyo' bila wao kuwa na interest na hotcake za Tanzania.
Jidanganyeni na kutiana ujinga.