Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Yule kiwadi alienda huko analalamika ati warembo wetu.marafiki zetu hawakubali kuiwekea vikwazo Tanzania kwa kuwa ni.stable ,mwanasheria hajui issue zinazo mount kuingia ICC .mwisho wa aibu tupuMambo haya hayahitaji hasira ni ya kidiplomasia zaidi
Wanamitandao kuweni na utulivu mliyoyatarajia huenda yasitokee kabisa.
HAPA KAZI TU
Kwahiyo yeye anasoma jina tu juu ya bahasha inatosha kujibu yalimo ndani?Mbona hata kabla hajaisoma ameshaijibu.Si unajua jamaa anajifanya yy ndo think Tank!
Thread closed. Kumbe!Total ni kampuni la Ufaransa linatarajia kuanza uchimbaji na ufungaji wa bomba la Hoima - Chongoleani
Ni Total deal hiyo, wake up.Watakuja kubisha na hili.
Hongera Tanzania, Hongera Rais John Pombe Joseph Magufuli [emoji123]
Hongera Uzalendo Wa Kitanzania [emoji7][emoji1241][emoji106]
Maendeleo hayana vyama [emoji16][emoji16]
Kugawana faida ndio biasharaNi Total deal hiyo, wake up.
Sijui kama jiwe anajua lugha yeyote ya kigeni.
Hiyo barua ni ya kifaransa labda kamuandikia kumuonya yeye anafikiri ni pongezi.
Hahahaaaa mimi napita tu humu sichangii.Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amuandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa
Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli itajikita zaidi katika kuboresha uwekezaji wa ndani na nje ya nchi na kuimarisha ushiriki wa sekta binafsi katika kujenga uchumi wa nchi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi ameyasema hayo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa hapa Nchini na kuongeza kuwa baada ya kipindi cha kwanza cha miaka mitano ya uongozi wa Rais Dkt John Pombe Magufuli kujikita katika uwekezaji mkubwa wa maeneo ya miundombinu na nishati pamoja na huduma za kijamii sasa serikali inalenga kuimarisha ushiriki wa sekta binafsi katika ujenzi wa uchumi.
Balozi wa Ufaransa hapa Nchini Mhe. Frederic Clavier amemkabidhi Prof Kabudi barua ya iliyoandikwa na Rais wa Ufaransa Mhe Emmanuel Macron kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kumpongeza kwa kuiwezesha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda uliopangwa.
Leo kwao ndiyo story kubwa utafikiri shida za wananchi zimeishaNon-sense. Huyo Kabudi ndio mstari wa mbele kuwaita MABEBERU, leo eti barua, SO what?. Huo uchumi wa kati ni vzr serikali ya jiwe ikasaidia kuelimiasha wanaichi tulipo kuwa uchumi wa chini eg umeme unit moja ilikuwa Tsh 300 na sasa tuko wa kati unit moja TSh 150, lakini huo uchumi wa kati wa kwenye makaratasi, HELL!
Hakuna lolote la maanaNingefurahi kama kabudi kwa sasa angetumia weledi wake wote kuweka mambo yote sawa awafuate mabeberu akae nao awaeleze jinsi uchaguzi ulivyoenda wamuelewe waachie shekeli