Prof. Kabudi sasa kuongoza Vyombo vya Habari vya serikali kushinda propaganda / information war kuelekea 2025 na mbele zaidi

Prof. Kabudi sasa kuongoza Vyombo vya Habari vya serikali kushinda propaganda / information war kuelekea 2025 na mbele zaidi

21 August 2025
Bila Ithibati: Ni Kosa la Jinai Kufanya Uandishi wa Habari Bila Ithibati 'Adhabu ni Kifungo Miaka 5

View: https://m.youtube.com/watch?v=Qct6wQ0idrM

Patrick Kipanguli Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ithibati, JAB ameyasema hayo kweye mdahalo uliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa ushirikiano na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), yanalenga kuhakikisha uripoti wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 unazingatia kanuni, weledi na maadili ya kitaaluma...

21 Agosti 2025

Hakuna Chombo cha Utangazaji cha Chama Fulani, 'TCRA Hatutoa Leseni Kwenye Vyama'


View: https://m.youtube.com/watch?v=6K08j5hQois
Mhandisi Andrew Kisaka ameyasema hayo kweye mdahalo uliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa ushirikiano na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), yanalenga kuhakikisha uripoti wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 unazingatia kanuni, weledi na maadili ya kitaaluma....naye

Profesa Kabudi : Wanaotaka Kuzuia Uchaguzi Hawajui Historia, Atoa Somo kwa Waandishi wa Habari​


View: https://m.youtube.com/watch?v=J5Zq0YzW2EM
 
Profesa Palamagamba Kabudi sasa kuendeleza propaganda :
Vita ya habari au information war ni zana muhimu kutetea uhalali wa maamuzi, matukio na mafanikio

05 November 2025

Machafuko baada ya uchaguzi Wasafi Media waingia mzigoni

WANANCHI - MADHARA YA VURUGU ZA UCHAGUZI ARUSHA, MAHAKAMA, OFISI, VITUO VYA MAFUTA VYACHOMWA MOTO​


View: https://m.youtube.com/watch?v=Wt6v9N6EAGY

Source : wasafi media
 
Back
Top Bottom